Minara ya simu za mkononi!!

Raia wa JF

Member
Feb 29, 2012
27
0
RAIS wenu ninawasalimu katika jina la JF. baada ya miaka mingi kwenye za kupanga hatimaye nataka kujenga.sasa nimepata kiwanja maeneo ya tabata kinyerezi kwa bei nzuri na kipo eneo zuri pembeni mwa barabara tatizo kipo pembeni ya mnara wa simu za mkononi eti watu wananiambia ni mbaya. naombeni kujuzwa kuna madhara gani kuishi pembeni ya huo manara.
 
eti rais nyooooo!!!?.....
wewe nunua tu hakuna madhara yoyote.
MP.
 
Jenga tu mbona mijini kuna minara kibao na tunaishi....na km ni mionzi inaanza na cm uliyonayo
 
Aisee kuna utafiti unadai kuwa ile minara inasababisha walio karibu nayo kubambikiwa watoto.................
Ndhani umeelewa..............LOL
 
labda kama engineer hawakuufunga vizuri,ukaanguka hapo disaster...
ila tofauti na hapo swalama tu.
jenga mkuu uctafte visingizio atii...
 
Jenga tu mbona mijini kuna minara kibao na tunaishi....na km ni mionzi inaanza na cm uliyonayo

erick kumbe umeelewa aise...
maana ulikimbilia post ukijua ni ile minara unayoijua...lol
 
Aisee kuna utafiti unadai kuwa ile minara inasababisha walio karibu nayo kubambikiwa watoto.................
Ndhani umeelewa..............LOL

Hivyo ndivyo wa2 wanavyosema atii. na hata ukitotolesha unatotolesha tahaira.
 
MICROWAVE EEENNH !!! Bad microwave is bad.

Jenga tu. Mimi ilala nimejenga jirani na microwave tower. No Problems.

Ukikiacha tu, wengine watanunuwa hicho kiwanja na watajenga.
 
Faida ni 100% coz hutakaa upate tatizo la netwek

inategemea-kama mtandao anaotumia ndo wenye tower hapo-kama sivyo hivyo faida hataipata
BTW-wanasemaga minara ya simu inaweza kuleta matatizo-lakini siwahai kusikia wale walinzi wanaolinda hio minara kama washa-experience tatizo lolote la kiafya
 
Aisee kuna utafiti unadai kuwa ile minara inasababisha walio karibu nayo kubambikiwa watoto.................
Ndhani umeelewa..............LOL

duu kwa hiyo ankoli mtambuzi ndio maana ukai karibu na minara kuogopa kubambikwa mtoto nini..
 
kwanza kabla ya kujenga,akikisha kiwanja hakipo kwenye hifadhi ya barabara.

Kuhusu mnara 'nadhani' itakua na madhara fulani,sikushauri,unless unajenga nyumba ya kupangisha!
 
duu kwa hiyo ankoli mtambuzi ndio maana ukai karibu na minara kuogopa kubambikwa mtoto nini..
Kuna jirani yetu aliahidiwa mchongo aruhusu ujengwe mnara hapo kwake akakubali, tulimkalisha chini na kumtisha kuwa una madhara kwenye UANAUME, na jamaa anavyopenda UTUKUFU ikabidi akatae hiyo offer. Kubambikiwa watoto au kuzaa mataahira unafikiri mchezo!
 
Back
Top Bottom