Minajili

Aloysius

Member
Mar 1, 2011
80
9
"Minajili". wengi usema kwa minajili (MAKOSA)X "Min" KWa kiarabu ni "Kwa" hivo basi unavosema 'kwa minajili' ni kama unasema 'kwa kwajili".
Sema mfano: Nitakuja minajili hiyo. Nasio kama msemavo; Nitakuja kwa minajili hiyo.

Wewe unsemaje?
 
Maana yake "minajili" kama inavyoelezwa kamusini ndio "kwa sababu ya", "kwa madhumuni ya". "kwa ajili ya"
 
Back
Top Bottom