mimi wazungu nashindwa kuwaelewa akili zao

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
huyu haogopi watu?

fanya harakaharaka.jpg
huyu anafanya nini?
v.jpg
je huyu ana uja uzito au?
v2.jpg
huyu alidhamilia nini?
v3.jpg
 
ni vichaaa, mshipa wa aibu ulishawatoka zamani, they are too much carefree, halafu pia, wanapenda kujaribu kila kitu,
 
Don't be fooled with photodukas... then wash your dirt minds,

Bora hao kuliko mkata sijui etewkik.......wenye akili sijui kwa nini wanafanya naye kazi na sijui kwa nini wanakubali kufuata upuuzi wake..
Nasema sijui....

Karibuni leo nasomeka ****** baa....
 
Ukiwafuatilia saana watakuchakachua akili...

But hio in photography kwa wale ambao wako interested in the right place at the right time...
Ujanja na timing ya photographer... nyingine hua very impressive..
 
Sio kama mshipa wa aibu umekatika ila wanapenda sana kurahisisha mambo na pia kujaribu kila kitu.Huwa hawajali kama wanyama vile.usiwafatilie utakuwa mwehu
 
Back
Top Bottom