Mimi sio Rais Dhaifu-JK

1. kiafya ni dhaifu kwani kuanguka kwenye majukwaa kwake ni kawaida na akivua viatu ana kurutu,
2. kama si dhaifu kwa nini EPA wanadunda mtaani, Radar pia wanadunda mtaani, mbona Richmond wanadunda mtaani, pia wawili kati ya mapacha watatu wanadunda mtaani kwa sana?

well well na kama yupo humu ama wafuasi wake wamsomee hii na ikiwezekana atupatie jibu humu humu
 
Cheki+Matatizo.jpg


yah maaaaan

Any amount will do!

 
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye c rais dhaifu kama watu weng wanavyodai,na amesisitiza kuwa mara nying hufanya maamuz magumu,ila hufanya kwa manufaa ya nchi na si kwa ajili ya kusifiwa.
Sosi:NIPASHE

Huwezi ukajihukumu mwenyewe!!!!!!!! nakumbuka siku moja mkapa kwenye hotuba yake alitukumbua mziki usemao "Mtoto acha kupiga mayowe acha watu waseme wenyewe" hii alikuwa anamaanisha watu ndio wanao ona nini ukifanyacho maana ndiyo walengwa ni hao watakao ona kama unafaa au hufai.
 
Mi sishangai
hiyo kauli, hivi mlitegemea
aseme nini? Tukubali au
tukatae...ni ngumu
kuandika kitabu na
kukifanyia uhakiki wewe
mwenyewe. Ni vizuri aache
wananchi ndiyo wapime
huo udhaifu na siyo yeye,
vinginevyo ni kutia watu
hasira tu.
 
Hakika nashindwa kuelewa kwanini Colonel wa Jeshi, msomi wa chuo kikuu cha Dar-es-salaam, mpezi wa Yanga na Midundo ya Sikinde Ngoma ya Ukaye anakua dhaifu. Hapa kuna kitu sikioni....
 
kikwete nahisi tunaye humu ndani.amejuaje kwamba yeye dhaifu na legelege kama sio jf.
 
mmmh sijamuelewa si dhaifu kwenye nyanja ipi, maana kama ni ile nyingine ile naskia yuko fit sana sana ila hizi nyingine mmmh ....hata hivyio hii issue imeanzaje
 
Hakuna rais dhaifu, goigoi na lege lege aliyetawala nchi hii km JK, angalia mfumuko wa bei, mafisadi, ubadilifu, migomo nk, inatokea na yeye anaenda kuongea mipasho na wazee wa Dar huku akicheka cheka tu bila kutoa suluhisho sahihi ya matatizo lukuki yanayolikabili taifa.
 
mmmh sijamuelewa si dhaifu kwenye nyanja ipi, maana kama ni ile nyingine ile naskia yuko fit sana sana ila hizi nyingine mmmh ....hata hivyio hii issue imeanzaje

kwenye UTAWALA!
 
nakubaliana naye kuwa yeye si dhaifu ila ni GOI GOI vibaya sana
 
Back
Top Bottom