Mimi sio Rais Dhaifu-JK

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye c rais dhaifu kama watu weng wanavyodai, na amesisitiza kuwa mara nying hufanya maamuz magumu, ila hufanya kwa manufaa ya nchi na si kwa ajili ya kusifiwa.

Sosi: NIPASHE
 
Tunatazama matendo na siyo porojo watu tumemchoka kupita kiasi ajue hivyo
 
Naogopa kupigwa ban maana nilisha andika kitu kuhusu huyu mkweree nikaishia kula ban ya wiki tatu....

me ban zinaniongezea maisha,
nadhan amejibu hayo kwa kuckia nin tunakizungumza(wananchi)
 
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye c rais dhaifu kama watu weng wanavyodai,na amesisitiza kuwa mara nying hufanya maamuz magumu,ila hufanya kwa manufaa ya nchi na si kwa ajili ya kusifiwa.
Sosi:NIPASHE

1. kiafya ni dhaifu kwani kuanguka kwenye majukwaa kwake ni kawaida na akivua viatu ana kurutu,
2. kama si dhaifu kwa nini EPA wanadunda mtaani, Radar pia wanadunda mtaani, mbona Richmond wanadunda mtaani, pia wawili kati ya mapacha watatu wanadunda mtaani kwa sana?
 
hana lolote,maamuzi yake mengi,anayafanya kwa kuangalia upepo wa kisiasa,na kutomuudhi yeyote.Na huyu JK ndio Rais kigeugeu kuliko binadamu wote duniani
 
1. kiafya ni dhaifu kwani kuanguka kwenye majukwaa kwake ni kawaida na akivua viatu ana kurutu,
2. kama si dhaifu kwa nini EPA wanadunda mtaani, Radar pia wanadunda mtaani, mbona Richmond wanadunda mtaani, pia wawili kati ya mapacha watatu wanadunda mtaani kwa sana?

nadhan ndo maana ameseme ye c LEGELEGE!
UNAONA UDSM WALIVOBARASWA?C WALIMZ0MEA?
 
ukiona mtu anaanza kusema yeye sio mwizi basi kuna asilimia kubwa kwamba ana uwizi

jk ni rais dhaifu
 
1. kiafya ni dhaifu kwani kuanguka kwenye majukwaa kwake ni kawaida na akivua viatu ana kurutu,
2. kama si dhaifu kwa nini EPA wanadunda mtaani, Radar pia wanadunda mtaani, mbona Richmond wanadunda mtaani, pia wawili kati ya mapacha watatu wanadunda mtaani kwa sana?

We kiazi kweli usichoelw nn kuwa hayo ndo maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa
 
JK...the best presdent ever!
Cheki+Matatizo.jpg

yah maaaaan
 
Rais JK ndiye rais dalhaifu kuliko wote kwa sababu serikali inatishiwa na mafisadi na kukiri mafisadi ni hatari kwa usalama wa nchi wakati mafisadi hawazidi hata ishirini!!!!
 
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye c rais dhaifu kama watu weng wanavyodai,na amesisitiza kuwa mara nying hufanya maamuz magumu,ila hufanya kwa manufaa ya nchi na si kwa ajili ya kusifiwa.
Sosi:NIPASHE

It is nice kuwa ametambua watu wanavyomuona. This is a very important observation on his side. The next philosophical question from JK to the people claiming him to be weak could have been: You people tell me my weaknesses/what are my areas of weaknesses? Watu wangeshuka na areas where he is excessively/astonishingly weak
 
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye c rais dhaifu kama watu weng wanavyodai,na amesisitiza kuwa mara nying hufanya maamuz magumu,ila hufanya kwa manufaa ya nchi na si kwa ajili ya kusifiwa.
Sosi:NIPASHE

yeye anakataa kwa maneno wakati vitendo sivyo, analo limemganda na halitamtoka
 
Back
Top Bottom