Mimi sijamuelewa na sitamuelewa Mecky!!

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,541
1,753
Jamani!!!
Mimi sjamuelewa mkuu wa mkoa wa dsm eti mambo yanaenda vizur katika hosptali za jiji na wakati waandishi walioko eneo la tukio wanasema hakuna lolote,ni mateso haswa!
Pia anadai alitembelea huku anaongea KULINGANA NA MAELEZO NILIO YAPATA!! Hiv ukifika eneo la tukio si unaitaji pia hujionee mwenyewe ndio pia useme!!
Hana details za kutosha anadhubutu kuzungumza hadharani!!
Ni aibu sana.
INATOSHA.
 
Sahani kutoka nje ya mada.
Huyu jamaa ni mzawa wa mkoa gani?
 
Back
Top Bottom