Mimi si Malaya wa Vyama, Hamad Rashid

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Jamani Leo nimekuwa nikiwaza habari zote ninazozisikia kuhusiana na CUF, Vita kuu ni watu wa asili moja na nina Imani majirani HR, na SSH.
Mgogoro wa HR ni mabadiliko na uongozi safi, Tatizo za Maalim ni HR kutaka kufanya uhaini ndani ya Chama, na kinachoonekana hakuna suluhu itakayopatikana kwani Cuf washamtimua HR.

Sasa HR kuenda mahakamani akiwa na lengo la kutetewa na mahakama huku akiwa ameshatangaza kuanzisha Chama Chake na nakumbuka alihojiwa na BBC kama anataka kwenda Chama kingine na akihisiwa kuhamia CDM, Alikataa katu katu kuhamia chama kingine kwa kauli ya MIMI (YEYE) SI MALAYA WA VYAMA VYA KISIASA.

Swali hasa kwake, na kama mtu aliyekaribu naye akisoma hii mada yangu akamuulize, JE? KUANZISHA CHAMA CHAKO SI MALAYA WA KISIASA? Na kesi ipo mahakamani kudai haki uwe bado Mbunge kwa tiketi ya CUF na upo kwenye harakati za kuanzisha chama na unafanya wazi wazi.

Hii ina maana gani kwa watanzania wanakuokusikiliza??
 
Na CUF wametoa kauli nzito sana na iliyojaa kufuru "HATA MBINGU ZISHUKE, HAWAWEZI KUBADILI MAAMUZI YAO DHIDI YA HAMAD RASHID"
 
Na CUF wametoa kauli nzito sana na iliyojaa kufuru "HATA MBINGU ZISHUKE, HAWAWEZI KUBADILI MAAMUZI YAO DHIDI YA HAMAD RASHID"

Na hili ndio msimamo wa Mtu au Chama makini. Siku zote kinasimamia maamuzi yake yaliyotolewa na vikao vyake halali.

Kubadilika ni undumilakuwili.

 
Jamaa amekwisha vibaya,sijui ata kama anadhubutu kwenda kwao Pemba......nafikiri hakupima maji kwanza kabla hajaanzisha hilo zongo la kutaka ukatibu mkuu wa CUF
 
Back
Top Bottom