Mimi pia natafuta mpenzi-Mwanaume

Maryrose

Member
Sep 18, 2012
74
20
Title imejieleza,
Vigezo na masharti vizingatiwe:
-Awe kuanzia mid 30 lkn Serengeti Boys pia watafikiriwa depending na mtu atakavyojinadi
-Awe tall
-Awe intelligent and open minded
-Awe mascular
-Asiwe diabetic
-Awe na gari zuri
-Awe na fedha za kutosha za matumizi yetu na asiwe selfish
-Awe tayari kutumia kinga siku zote
-Awe na nyumba ya gorofa
Unaweza kuapply live hapa na ukajibiwa au kwa PM zinakaribishwa ila si zote zitajibiwa.

-MBAs pia wana-equal chances in the selection
Leteni kejeli zenu sasa,can't wait.
 
Heheheheh naona uko kazini . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Gari zuri? Hela nyingi mmmmmh?
Jamani jf imeanzisha biashara nyingi aisee
 
Heheheheh naona uko kazini . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Gari zuri? Hela nyingi mmmmmh?
Jamani jf imeanzisha biashara nyingi aisee

Good observation,wewe kama hauna hivyo vigezo pita tu,wenzio wanavyo.Gari zuri kwa matembezi yetu,fedha kwa matumizi yetu hasa shopping,hbr ndio hy
 
Kumbe kwa hizo unachukuliwa eeeeh huna tofauti na watafutaji
 
Title imejieleza,
Vigezo na masharti vizingatiwe:
-Awe kuanzia mid 30 lkn Serengeti Boys pia watafikiriwa depending na mtu atakavyojinadi
-Awe tall
-Awe intelligent and open minded
-Awe mascular
-Asiwe diabetic
-Awe na gari zuri
-Awe na fedha za kutosha za matumizi yetu na asiwe selfish
-Awe tayari kutumia kinga siku zote
Unaweza kuapply live hapa na ukajibiwa au kwa PM zinakaribishwa ila si zote zitajibiwa.
-MBAs pia wana-equal chances in the selection
Leteni kejeli zenu sasa,can't wait.

Duh!hadi MBAs???...nimejitoa..ligi kubwa hii..
 
sifa tatu tu sina.; sina gari,pesa na siwez kutumia condom. vip nifikirie basi!!!
 
Back
Top Bottom