"Mimi nitakuwa wa mwisho kupiga kura kumwondoa Mhe. waziri Mkuu"

Ni heri amekuwa mkweli tumeujua msimamo wake kuliko wabunge wanaokosa msimamo.

Zitto kasema wataomba kupata saini 70 kwa maana kwamba wengine hawako tayari kusaini ni vema tukawapa uhuru kuchagua.
 
ng'ombe aliyekonda siku zote huwa haoni aibu ila mwenye ng'ombe...pinda kama mwenye ngombe haoni aibu kabisa....anapaswa kuwajibika...aondoke madarakani
 
Let him go to hell,he has failed us as a nation,people expected a lot of changes from him through is vast experience gained very close working under Mwalimu JK Nyerere,yeye na BW Mkapa hawana tofauti kwani wamemuhujumu Mwalimu pia wametuhujumu na sisi wananchi,he is a loser and culprit too who belong behind bars
 
Back
Top Bottom