ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 931
"Mawaziri waliotuhumiwa wapo, wapime na waamue jinsi gani watamwokoa Waziri Mkuu, Mimi nitakuwa wa mwisho kupiga kura kumwondoa Mhe. waziri Mkuu, ni mapema mno kumhukumu Mhe. Waziri Mkuu wakati waoahusika wapo" - Mhe. Mtutula Abdallah Mtutula Mbunge wa CCM Tunduru (CCM) akizungumza leo asubuhi tarehe 20.04.2012 katika kipindi cha Jambo TBC1.
Maoni yangu:
Msitarajie lolote kutoka kwa wabunge wa CCM, wengi wanahisi chama ndicho kimewaweka pale na sio wananchi wa majimboni mwao. Wengi ni wanafiki kama akina Aggrey Mwanri na William Lukuvi..hawataki kukiri kuwa wao ndio chanzo cha mabadikili..wanakilalamikia chama chao kwa kulifiksha Taifa hapa lakini hawako tayari kunyosheana vidole na kuwajibishana wao wenyewe . wanamnunuu Mwalimuu kuhusu falsafa yake ya maendeleo ya "watu, siasa safi, ardhi na uongozi bora" lakini hawatekelezi hii kwa vitendo hasa inapofikia kupima maana ya 'uongozi bora".