Mimi nilikuwa chini ya mwaka na je vita vya kagera vilikuwa vya maslahi ya tz?

mayoscissors

JF-Expert Member
Nov 24, 2009
975
471
Napata shida hasa ninapoangalia video ya vita vya kagera eti msevenna okelo waliungana na wanajeshi wa tz,nisaidieni
 
Unachotaka kujua hasa ni nini? M7 na Okello kuungana na wanajeshi wa Tanzania au vita ilikuwa ya maslahi kwa Tanzania?
 
Usitupotezee muda. Kuna threads zaidi ya mbili hapa JF zinazungumzia vita hivyo. Ingia kwenye makhtaba ubukue somo.
 
Unanikumbusha makamanda Bazillio Olara Okello na mwenzake aliyefukuzwa na M7 toka Ikulu akiitwa Gen. Tito Okello. Funguka zaidi upate zaidi hizi ndio anga zetu wengine
 
Back
Top Bottom