Mimi ni mwajiriwa wa serikali; Sheria inasemaje nikitaka kugombea udiwani, ubunge..

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Naomba wanajamvi walio na uelewa wa kisheria, kama mimi ni mwajiriwa wa serikali na nataka kugombea nafasi ya kisiasa, kama uenyekiti wa mtaa, udiwani, ubunge au uraisi, sheria inasemaje. Je, nitalazimika kuacha kazi? Na kama kuna kuacha kazi, inaanzia wapi, wakati tu wa kura za maoni, wakati wa kugombea au nikishashinda? Naomba mwenye ujuvi wa hilo anijulishe...
 
Back
Top Bottom