Mimi ni Mnyamwezi , Na Wewe Je??

Hahahaaa Boflo kwa mafiksi mi ndo nakupendeaga aiaee...
Olimpio ni shule ya msingi bana

Halafu wee kwani ni chaufer Boflo?
Nafikiri umeshaamini kuwa jamaa siyo mkazi wa Upanga! Atuachie wa upanga tujidai hapa!!
 
Aah sio hapo bana, mbona hapo mbali sana na kona ya mzumbe? Hapo si karibu na miembe ya gereji?
Hizo chipsi vumbi ni ukitokea tu kona ya mzumbe kuingia barabara ya mfaume, kulia kwako mwishono ni ukuta wa shaaban robert na kushoto ukishuka ndo utakuja kwa muchacho wako.

Kwa Bush je unapajua pale mtaa wa mazengo?

Hapo unaposema nimeshakujua, ni karibu kabisa na John Bosco, Nje wanauza chips, na ndani kuna Bar, masister du wengi wanakuweko hapo
 
yako upanga South, hii iko kaskazini magharibi mwa Magogoni.

Wewe umesema west yeye akadakia fasta fasta east! Hizo mzumbe un,diamond, olimpio hata hazifahamu! Kama unabisha muulize muhimbili, Tumain hosp au makao makuu ya JWTZ yapo pande zipi!
 
anajua upanga kusini tu, huko east na west coast hata mie sipapendi maana palisababisha Tupac na BIG kuuana bure.

Kwa hii post unazidi kuonyesha kuwa Upanga badooo huifahamu na wala hujawahi kuishi!
 
hili neno nishalisikia kama mara elfu moja kwa watu walokulia maeneo hayo hasa vijana, lakini huwa najiuliza inasaidia nini kama wakuja wana-run jiji?

Hahah...yaelekea wewe una rafiki yako anayeishi mitaa hiyo! Mi nimezaliwa na kukulia sea view! Au unataka nianze kukutajia majirani zangu!!
 
hili neno nishalisikia kama mara elfu moja kwa watu walokulia maeneo hayo hasa vijana, lakini huwa najiuliza inasaidia nini kama wakuja wana-run jiji?
Tatizo kuna watu wengi huwa wanajidai wanalifahamu jiji kama huyu Boflo, kumbe hawajui chochote! Ndio najaribu kumuumbua mmoja baada ya mwingine!
 
usiniumbue basi hani
ujue mie nimekulia Obey kabisa, basi tu.

Afu sikubahatika kufika kariakoo kabisa, naskia mitaa ya huko huchanganya.

Tatizo kuna watu wengi huwa wanajidai wanalifahamu jiji kama huyu Boflo, kumbe hawajui chochote! Ndio najaribu kumuumbua mmoja baada ya mwingine!
 
anajua upanga kusini tu, huko east na west coast hata mie sipapendi maana palisababisha Tupac na BIG kuuana bure.
Heheheee wewe bana...
Hivi si na wakina AY walikuwaga na east coast yao?
 
Kumbe uchaga dili eeh?

Sana tu RR ndio maana tunajiamin kujivunia kabila letu popote!hope mwenyewe watupata viziri kabila iliyozaliwa na kipaji cha kutafuta pesa na kwenda shule!bila kusahau upendo ukarimu na ushirikiano wa kusaidiana,na popote nchi ukienda lzm utukute na maduka na bar zetu tunazichanga!
 
Back
Top Bottom