"Mimi Naogopa Sana Mume wa Mtu"...

Kamanda huyo kesha kutaka hivo.Hiyo sms yake wala usiijibu kikamilifu...just tell her..'hahahaha tukionana nitakueleza',just to keep her interest alive,mkionana baada ya glass mbili za wine anza kumwonyesha huzuni jinsi mkeo anavyokusumbua na kukufanya utamani uhame inji,mweleze unavyojuta kuoa,mwambie mnalala different bedrooms,atalainika tu na ataanza ku feel sympathy,e bana e hata akitaka ahadi ya ndoa we mpe tu,akikuuliza ...'are you ready to dump mama kayai for me?',we kubali tu mradi ulambe mzigo,mengine atajijua huko mbele ya safari kudadadeki.

DU! Mkuu we ni noma.nimeipenda hii theory,ngoja na mimi nikai apply sehem flan hv.
 
.....sentensi nimekuwa naisikia sana kutoka kwa kina dada walio single. Funny enough, kuna kina dada wapatao watatu niliowahi kuwasikia kwa masikio yangu (nafanya nao kazi) wakitoa kauli kama hii lakini eventually wamezaa na waume wa watu (of course sio kwa wakati mmoja na si na mume mmoja but over a period of four years).

Kuanzia jumatatu ya wiki hii nimekuwa nafukuzia kupewa assignment fulani na taasisi fulani. My contact kwenye hiyo taasisi ni mdada mmoja mrembo kweli ila hajaolewa. Nilimualika kula pizza pale Piccasso - wanaoifahamu Arusha wanaifahamu ilipo - jana jioni ili kujenga mazingira ya mimi kupata hicho ninachokitafuta (mwenye influence na maamuzi ni immediate boss wa huyo dada). Tulikula pizza na kuongea vitu viwili vitatu - social na professional - na kauli ya "kuogopa sana mume wa mtu" ika-crop up. Baada ya mlo kila mtu akachukua time. Mchana huu nikapata sms kutoka kwake akiniuliza: "Umeoa? Mimi naogopa sana mume wa mtu and I want us to be careful if you are married".

Au mimi sielewi maana ya "kuogopa sana mume wa mtu"?

JUST THINKING ALOUD!

Bora huyo anayedai anaogopa

Nimewahi kuambiwa na mke wa mtu "mume wa mtu huliwa na mke wa mtu kama bati inavyoliwa na kutu" niakona hapa sasa thamani ya ndoa imo mashakani sana.
 
Mume wa mtu mzuri kumchuna tu, halafu unasepa... Mwanamke anayesema hivyo anataka kucheck how interested are in her and for sure she knows what you gonna do next. Utaanza kumfanyie mikakati ya to get her or die trying.
 
Bora huyo anayedai anaogopa

Nimewahi kuambiwa na mke wa mtu "mume wa mtu huliwa na mke wa mtu kama bati inavyoliwa na kutu" niakona hapa sasa thamani ya ndoa imo mashakani sana.
Hapo kwenye red line mpaa nimedhnai Iran kisha karibia kuripua nuclear bomb.
 
Mume wa mtu mzuri kumchuna tu, halafu unasepa... Mwanamke anayesema hivyo anataka kucheck how interested are in her and for sure she knows what you gonna do next. Utaanza kumfanyie mikakati ya to get her or die trying.
Kweli hata mimi nilitaka kuanza kujaribu kama unaweza kuniruhusi nitembelee ikulu yako, hata kama $ zitatumika.
 
Kweli hata mimi nilitaka kuanza kujaribu kama unaweza kuniruhusi nitembelee ikulu yako, hata kama $ zitatumika.

Una $$$ wewe, labda ukaibe benki, ninavyojua mimi unazo za kukulisha chipsi kwa juma halafu unatutambia hapa
 
Hivi mmeisoma vizuri hyo SMS ya huyo dada, kwa sababu kwa jinsi nilivyoelewa mimi ni kwamba huyo dada hana tatizo na jamaa kuwa mume wa mtu ila angependa wawe makini zaidi wasije kukamatwa ugoni.

Womanizer; as ur name speaks, upo sahihi kbs mkuu
 
Mzingue mpaka ule mzigo man we kama mkali kwani umwachie akatize piga halafu mwambie ukweli utaona kama hajakwambia muendelee kwa siri

kumbe ndo hivyo unavyofanyaga shenzi type kabisa......kulana nje ya ndoa ni doa ktk maisha ya mtu....sikushauri umle kama tayari unamke is a big deal bada ya hapo.
 
Piccasso - Arusha - Pizza..... tutapatafuta tukifika Arusha. Pako mtaa gani?

Jirani na Impala Hotel, round about ya Nelson Mandela road, Njiro, Phillips na ile inayoelekea town centre. Si mahali pa kupotea, unakaribishwa mkuu!
 
kumbe ndo hivyo unavyofanyaga shenzi type kabisa......kulana nje ya ndoa ni doa ktk maisha ya mtu....sikushauri umle kama tayari unamke is a big deal bada ya hapo.
??!
lemmi tell u guyz
ku cheat ni thriller to a guy in mission, its fun to a person in love of exproling the outer world, u always come out with something a least of it is a refreshed mind
but mind u, its consequence is lethar.!!
 
Huyo dada amezimikia swaga zako. Lol!
Wanawake wengi huongea zaidi kuliko kutekeleza. Wengi hupenda waonekane wasafi mbele ya jamii wakati ni wachafu. Kauli kama hizo za kuogopa mume wa mtu, kuogopa kutoa mimba na zinginezo zipo sana.
 
Back
Top Bottom