"Mimi Naogopa Sana Mume wa Mtu"...

Basi ngoja tumpige chini jamaa yangu Bishanga, nitaku-PM.

hahahahaha! chezea Bishanga wewe, unataka anifanye kama alivyoandika hapo juu. ila kiukwel ni kama kafundisho fulani hivi, yaani mie wanaume wa watu hawanipati ng'o nshawajulia stle zao!
 
Wengi wa kina dada ? mama huchukulia usemi huu kama njia ya kupandisha chart yao, na pengine kumfanya mwanaume aongeze bidii kwani nafasi ipo

kwa ufupi ni tangazo tu kwamba nafasi ipo
 
hahahahaha! chezea Bishanga wewe, unataka anifanye kama alivyoandika hapo juu. ila kiukwel ni kama kafundisho fulani hivi, yaani mie wanaume wa watu hawanipati ng'o nshawajulia stle zao!

Kwani waume za watu wana alama usoni?
 
hahahahaha! chezea Bishanga wewe, unataka anifanye kama alivyoandika hapo juu. ila kiukwel ni kama kafundisho fulani hivi, yaani mie wanaume wa watu hawanipati ng'o nshawajulia stle zao!
i love you Risa!
 
Kamanda huyo kesha kutaka hivo.Hiyo sms yake wala usiijibu kikamilifu...just tell her..'hahahaha tukionana nitakueleza',just to keep her interest alive,mkionana baada ya glass mbili za wine anza kumwonyesha huzuni jinsi mkeo anavyokusumbua na kukufanya utamani uhame inji,mweleze unavyojuta kuoa,mwambie mnalala different bedrooms,atalainika tu na ataanza ku feel sympathy,e bana e hata akitaka ahadi ya ndoa we mpe tu,akikuuliza ...'are you ready to dump mama kayai for me?',we kubali tu mradi ulambe mzigo,mengine atajijua huko mbele ya safari kudadadeki.

bishanga we noma sana,
kila nikisoma michango yako namkumbuka bishanga wa kaole,
alikuwa akizimikiwa sana watazamaji wengi,vp wewe?
 
Back
Top Bottom