"Mimi Naogopa Sana Mume wa Mtu"...

Kamanda huyo kesha kutaka hivo.Hiyo sms yake wala usiijibu kikamilifu...just tell her..'hahahaha tukionana nitakueleza',just to keep her interest alive,mkionana baada ya glass mbili za wine anza kumwonyesha huzuni jinsi mkeo anavyokusumbua na kukufanya utamani uhame inji,mweleze unavyojuta kuoa,mwambie mnalala different bedrooms,atalainika tu na ataanza ku feel sympathy,e bana e hata akitaka ahadi ya ndoa we mpe tu,akikuuliza ...'are you ready to dump mama kayai for me?',we kubali tu mradi ulambe mzigo,mengine atajijua huko mbele ya safari kudadadeki.

ushindweeeee, khaaaa!
 
PICNIC nyuma ya ROSE GARDEN HOTEL

aisee kuna siku nili[otea badala ya kwenda ile bar inayofuatia kula nyama choma si nikaingia hapo PICNIC, ghafla nikaona mazingira tofauti kabisa........na mara nikaombwa hela ya soda.......nilitoka baruti hata sina hamu hapo picnic ni nomaaaaaaaaaaa!
 
Kumbuka kumheshimu Mungu. Ni vibaya kabisa kumtamani mume/mke wa jirani yako. wewe fanya kazi uliyotumwa, na kama anaonyesha kukuzimia, mpe ukweli kama uko hapo kikazi na si vinginevyo
 
Kamanda huyo kesha kutaka hivo.Hiyo sms yake wala usiijibu kikamilifu...just tell her..'hahahaha tukionana nitakueleza',just to keep her interest alive,mkionana baada ya glass mbili za wine anza kumwonyesha huzuni jinsi mkeo anavyokusumbua na kukufanya utamani uhame inji,mweleze unavyojuta kuoa,mwambie mnalala different bedrooms,atalainika tu na ataanza ku feel sympathy,e bana e hata akitaka ahadi ya ndoa we mpe tu,akikuuliza ...'are you ready to dump mama kayai for me?',we kubali tu mradi ulambe mzigo,mengine atajijua huko mbele ya safari kudadadeki.
ahahaaaa bishanga bwana toto la town wewe
 
Kumbuka kumheshimu Mungu. Ni vibaya kabisa kumtamani mume/mke wa jirani yako. wewe fanya kazi uliyotumwa, na kama anaonyesha kukuzimia, mpe ukweli kama uko hapo kikazi na si vinginevyo

Lakini huyo sio jirani yake wanakaa mbalimbali sana tu.
 
Mzingue mpaka ule mzigo man we kama mkali kwani umwachie akatize piga halafu mwambie ukweli utaona kama hajakwambia muendelee kwa siri

Hivi mmeisoma vizuri hyo SMS ya huyo dada, kwa sababu kwa jinsi nilivyoelewa mimi ni kwamba huyo dada hana tatizo na jamaa kuwa mume wa mtu ila angependa wawe makini zaidi wasije kukamatwa ugoni.
 
Kamanda huyo kesha kutaka hivo.Hiyo sms yake wala usiijibu kikamilifu...just tell her..'hahahaha tukionana nitakueleza',just to keep her interest alive,mkionana baada ya glass mbili za wine anza kumwonyesha huzuni jinsi mkeo anavyokusumbua na kukufanya utamani uhame inji,mweleze unavyojuta kuoa,mwambie mnalala different bedrooms,atalainika tu na ataanza ku feel sympathy,e bana e hata akitaka ahadi ya ndoa we mpe tu,akikuuliza ...'are you ready to dump mama kayai for me?',we kubali tu mradi ulambe mzigo,mengine atajijua huko mbele ya safari kudadadeki.

hahahah Bishanga u made my day hehehee dah watu mna mambo
 
Huyu ndio Bishanga bwana!
Huwa hamumunyi maneno

Kamanda huyo kesha kutaka hivo.Hiyo sms yake wala usiijibu kikamilifu...just tell her..'hahahaha tukionana nitakueleza',just to keep her interest alive,mkionana baada ya glass mbili za wine anza kumwonyesha huzuni jinsi mkeo anavyokusumbua na kukufanya utamani uhame inji,mweleze unavyojuta kuoa,mwambie mnalala different bedrooms,atalainika tu na ataanza ku feel sympathy,e bana e hata akitaka ahadi ya ndoa we mpe tu,akikuuliza ...'are you ready to dump mama kayai for me?',we kubali tu mradi ulambe mzigo,mengine atajijua huko mbele ya safari kudadadeki.
 
kamanda huyo kesha kutaka hivo.hiyo sms yake wala usiijibu kikamilifu...just tell her..'hahahaha tukionana nitakueleza',just to keep her interest alive,mkionana baada ya glass mbili za wine anza kumwonyesha huzuni jinsi mkeo anavyokusumbua na kukufanya utamani uhame inji,mweleze unavyojuta kuoa,mwambie mnalala different bedrooms,atalainika tu na ataanza ku feel sympathy,e bana e hata akitaka ahadi ya ndoa we mpe tu,akikuuliza ...'are you ready to dump mama kayai for me?',we kubali tu mradi ulambe mzigo,mengine atajijua huko mbele ya safari kudadadeki.

asante bishanga. Nimekuwa nikiptwa sana kwa njia hii. Nimezinduka sasa hawanipati teeeeeeeeena lol!
 
.....sentensi nimekuwa naisikia sana kutoka kwa kina dada walio single. Funny enough, kuna kina dada wapatao watatu niliowahi kuwasikia kwa masikio yangu (nafanya nao kazi) wakitoa kauli kama hii lakini eventually wamezaa na waume wa watu (of course sio kwa wakati mmoja na si na mume mmoja but over a period of four years).

Kuanzia jumatatu ya wiki hii nimekuwa nafukuzia kupewa assignment fulani na taasisi fulani. My contact kwenye hiyo taasisi ni mdada mmoja mrembo kweli ila hajaolewa. Nilimualika kula pizza pale Piccasso - wanaoifahamu Arusha wanaifahamu ilipo - jana jioni ili kujenga mazingira ya mimi kupata hicho ninachokitafuta (mwenye influence na maamuzi ni immediate boss wa huyo dada). Tulikula pizza na kuongea vitu viwili vitatu - social na professional - na kauli ya "kuogopa sana mume wa mtu" ika-crop up. Baada ya mlo kila mtu akachukua time. Mchana huu nikapata sms kutoka kwake akiniuliza: "Umeoa? Mimi naogopa sana mume wa mtu and I want us to be careful if you are married".

Au mimi sielewi maana ya "kuogopa sana mume wa mtu"?

JUST THINKING ALOUD!

Kaka hata Mungu hapendi, ila nikuambie kitu, hakuna kitu wanawale wanapenda kma mwanamume wa mtu, kuna vitu km uhuru wa kufanya mambo yake akiwa hana mume wa mtu yaani anaweza kuwa na mahusiano mengine, pia kuna swala la care, mara nyingi wanaume waliioa wana care sana kuliko bachela kwani wao bado hawako committed sana maana wanaweza kuwatosa muda si muda, na kingine ni mambo ya uchumi, yaani mume wa mtu anaweza gharamia nyumba ndogo kuliko bachela ambao mara nyingi ni vicheche kinyama, sasa kaka kwa wanawake wa kisasa ambao bado hawaja amua kuolewa na wamesha umizwa sana kwenye penzi hupenda sana waume za watu.Huyo kk anakutega tu wala huna haja ya kumharibia mkeo, km unaona analipa na wewe home mama ananyonyesha huwezi piga mashine we "muambia tutakuwa care kwani mke wangu ana wivu mbaya" atakupa shine kiulaini.Huku tuliko wanawake wanasema mume wa mtu mtamu bwana.
 
A crushed nation of which its families are scrambled by evil did. The start of street hawkers called lost child resulted form the non satsfied with fresh of man, body calling to do until the fresh is rotten. We are really a sand and dust. Look at thee for all your did.
 
Back
Top Bottom