Mimi nanii bana...mimi nanii

Dec 4, 2011
54
6
Maana ikiwa tumerukwa akili zetu ni kwa ajili ya nani? Au ikiwa tunazo akili zetu timamu ni kwa ajili ya nani? Tusiwe kwazo la namna yo yote katika jambo lo lote, tuwe wakweli, tuwasaidie wenye shida na kutumia utajiri wetu katika kuwainua wengine.

Kila mmoja wetu kwa nafasi yake, tuwe na upendo, tusiwe na chuki na kufanyiana visasi. Tuwe wepesi wa kusamehe, tuepuke kudharauliana. Ndio heshima na utu ndugu zangu. Nawapenda wote, marafiki kwa maadui, nawatakia maisha marefu yasiyo na wingi wa dhiki, nawatakia pia afya njema kwenu nyote.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom