Mimi na yeye nani zaidi?

promiseme

JF-Expert Member
Mar 15, 2010
2,707
931
Habari za Weekend wana MMU,
Kuna swali nimelisikia jana wakati tuko kwenye party kuna jamaa alikua ana muliza mpenzi wake"Eti nani zaidi kwenye
sita kwa sita mimi au hao walio pita mwanzo? nilimuona mwehu mwanamke nae akajidai haelewi sababu X wake alikuwepo
akajitia nasikia mvua zitakua zinanyesha kama zile zilizoharibu nyumba za kigogo nilichekaa mpaka basi,
sasa nikajiuliza ivi bado wapo wanaume wanaipenda kujifananisha au wanakua na uhakika gani kama wao ni zaidi kwenye
mambo flani? wenzangu wana MMU ivi mshawahi kupitia watu wenye tabia kama hizi?
 
Duuh, Huyo dada sasa company ya mtu kama huyo anaitakia nini......unless kuchuna na kusepa lakini jamaa hafai. Ukishadanganywa ndio iweje...
 
Huyo mwanaume ni bwe.ge kabisa, matatizo mengine kwenye mapenzi huwa watu wanajitakia, sasa mfano angempa white mfano angeambiwa wewe ni mchomvu wa mwisho kulinganisha na ma X wangu wote waliopita, tena una kidudu kidogo, angefanyeje?
 
teh teh teh teh....
 
Iwe kweli au si kweli angemsifia aliyenae. Hamna haja ya maneno mengi.
 
Duh! mie ningemwambia funika kombe mwanaharamu apite,na hasa watu wanao uliza haya wanakua hawajiamini na chululu zao kama pipi yakifua ukikohoa imetoka.....
 
Duuh, Huyo dada sasa company ya mtu kama huyo anaitakia nini......unless kuchuna na kusepa lakini jamaa hafai. Ukishadanganywa ndio iweje...
Nimemshangaa na yule X wake akajifanya kama hakusikia nilimuona bwage yule mkaka .
 
Huyo mwanaume ni bwe.ge kabisa, matatizo mengine kwenye mapenzi huwa watu wanajitakia, sasa mfano angempa white mfano angeambiwa wewe ni mchomvu wa mwisho kulinganisha na ma X wangu wote waliopita, tena una kidudu kidogo, angefanyeje?
Jamaa alikua anajishaua na ma offer anasema pesa ipo mtumiaji tuu hakuna mie sina mbavu.
 
jamaa alikuwa anajua kwamba X wa g/f wake yupo hapo kwenye eneo la tukio? all in all, jamaa ana akili ya panzi kabisa
 
Duh! mie ningemwambia funika kombe mwanaharamu apite,na hasa watu wanao uliza haya wanakua hawajiamini na chululu zao kama pipi yakifua ukikohoa imetoka.....
teh teh teh shosti umenikumbusha hayo maneno ya salon ikiwa kama pipi yakifua hata mie basi nasamehe......
 
jamaa alikuwa anajua kwamba X wa g/f wake yupo hapo kwenye eneo la tukio? all in all, jamaa ana akili ya panzi kabisa
Anajua ndio mana alikua anajishaua yani kalipa bill kama laki 4 manake alitaka ajulikane yeye nani,mara kaenda kutunza
na anatoa wekundu wa msimbazi tuu akifika anazirusha pesa kwa ma stage show.
 
Kuna mambo mengine ukiuliza unajionesha ulivyomjinga na akili ndogo
 
huyo mbona hajiamini
Yani we acha tu ! hata harakati zake zinaonyesha hajiamini mara kamuita muudumu anamuliza unanijua mie nani haya chukua hela ukanywe supu kesho manake wanakupa bia bila hela ya supu..mieeeee sinambavuuuuu.
 
loh huyu sijui wawapi? kama mie hiyo sehemu wala sikai yuko mwenzangu hat akama alikua ningesikia kichefuchefu...
 
Back
Top Bottom