Mimi na tatizo gani?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,883
Unaweza fikiri ni normal
but binafsi naona sio normal.........

Ni hivi

toka mashindano ya big brother yalipoanza sijawahi
feel uncomfortable kuona watu wakibusiana
(french kiss) kwenye screen
au hata wakisex au chochote kile cha mapenzi.........

Kwa ufupi huwa nae njoy kuliko kuwa uncomfortable......

Sasa hili shindano la mwaka huu

kila nikimuona mdada mtanzania aki[igwa mabusu hasa yule bhoke
i feel so uncomfortable....yaani naona kama wananiboa hivi.....
Most of the time na change channel for a while.........

Sasa hii sidhani ni normal.....
Tatizo langu hapa ni nini??????

Kwa nini inatokea hivi????????
 
labda unamchukulia bhoke kama dada yako,acha heshima za useminary...lol,mchukulie kama CD yeyote.....:biggrin1:
 
The Boss

In my case when I saw the one video ya Bhoke that was on JF (unfortunately I dont have access to view the show in realtime), I was torn between awe and disappointment.
  • Awe because here is a woman who is daring to live her life how she sees fit, regardless the consequences
  • The disappointment was from the fact that while she seemed soooo into it, the dude was just .................................................
NOTE
Strong, independent women, inspire me. Sipendi kabisa mambo ya kuwekwa in society's " box"
 
i am touched with ur comments nemo....
keep it up..
you remind me of someone here..
sikuhizi simuoni.....
 
We nawe...unataka ufurahie ili iweje!!!?Mwanzoni ndo hukua NORMAL ila sasa hivi umekua!!!

he he heee
ningeshangaa sana
kama usinge comments like that.....upooo mama watoto?????????
 
The Boss

In my case when I saw the one video ya Bhoke that was on JF (unfortunately I dont have access to view the show in realtime), I was torn between awe and disappointment.

  • Awe because here is a woman who is daring to live her life how she sees fit, regardless the consequences
  • The disappointment was from the fact that while she seemed soooo into it, the dude was just .................................................
NOTE
Strong, independent women, inspire me. Sipendi kabisa mambo ya kuwekwa in society's " box"

Spot on.

..........

Sasa hii sidhani ni normal.....
Tatizo langu hapa ni nini??????

Kwa nini inatokea hivi????????

Ni normal. Ndivyo walivyojisikia wanaume wa Kiangola pale ulipokuwa unamwona Rich kidume.
 
he he heee
ningeshangaa sana
kama usinge comments like that.....upooo mama watoto?????????

Hehehehe..umekubali lakini au unataka further studies???!
Nipo ...wewe tu ndo hauonekani mpaka namba ya simu umebadilisha!
 
ha ha haaa
nataka further studies......
umejuaje kuwa ndo nimekua now?
how?
 
ha ha haaa
nataka further studies......
umejuaje kuwa ndo nimekua now?
how?
How??!Because i know you...kwa jinsi ulivyo hutakiwi kufurahishwa na vitu vya ajabu ajabu kama vile...you are better than that!!!Umeridhika....¡??
 
ha ha ha
unaanza kuniogopesha now....
as you sound more mature than yesterday...
umesoma kitabu gani leo lol...

anyway nice words from you....mama watoto...
 
Boss labda twambie unapendelea mademu dizaini vipi. isije kuwa dizaini za bhoke ndo zako so hizi feelings zinakuja. unaona kama mzigo wako unachukuliwa, tena live
 
mimi yule mtoto simpendi kabisa
but naona kama ana pretend to be what she is not..
so nakuwa embarrased as yeye ni mtanzania.....
 
ha ha ha thanx mama watoto...
as siku zinavyokwenda nahisi
nimepata more than i thought nimepata...
more than gold ...

Hahahha umejishindia TANZANITE orijino kuliko hata komedi!!Ila na mimi nimepata zaidi ya nilivyowahi kudhani kwahiyo TUMEPATANA!!
 
Back
Top Bottom