Mimi na ndoto zangu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,627
154,986
Kila siku nasahau nilicho kiota, sasa kuanzia usiku huu wa leo ntaanza kulala na miwani ili nizione vizuri ndoto zangu na nikiamka nizikumbuke kirahisi.
 
Weee jamaa wewe hivi huwa unawazaga vitu gani? Nimecheka hadi michozi imenitoka. Heeee
 
Huwa naangalia hiyo avatar yako nifikiria vituko vyake na mambo unayo andika naona ulichagua avatar sahihi kabisa :teeth:
 
Hebu jaribu hivi: Jaribu kulala kwa ubavu wa kulia, utaikumbuka hiyo ndoto. Nadhani wewe umezoea kulalia ubavu wa kushoto, huwezi kuikumbuka ndoto. Mimi sio mtabiri lakini huwa inasemekana hivyo.
 
jamanie swala la ndoto ni la kiimani zaidi na kwale wakristu wanajua historia za ndoto kwenye bible, ukweli ni kwamba kinachokusahaulisha ndoto ni mapepo na huwa tunapoteza baraka nyingi sana kupitia ndoto mimi nina ushuhuda wa kutosha kuna sala natumia tangu nianze kusali huwa naona mambo ya ukweli yani nikiota linatokea.na hata majaribu yote atakayetaka naweza kumpatia hiyo sala
 
He he he inonekana brain yako storage ndogo tafuta external brain yenye gb kubwa uweze kuzikumbuka ndoto
 
We huna tofauti na yule aliekua amesimama mbele ya kioo huku amefumba macho, eti anataka aone akilala anakuwaje..
 
Uwe unatega kamera ya simu ukiwa umelala, inachukua matukio yote, afu asubuhii unafuatilia ndoto yako taaaatibu!!
 
jamanie swala la ndoto ni la kiimani zaidi na kwale wakristu wanajua historia za ndoto kwenye bible, ukweli ni kwamba kinachokusahaulisha ndoto ni mapepo na huwa tunapoteza baraka nyingi sana kupitia ndoto mimi nina ushuhuda wa kutosha kuna sala natumia tangu nianze kusali huwa naona mambo ya ukweli yani nikiota linatokea.na hata majaribu yote atakayetaka naweza kumpatia hiyo sala

mimi nasali ili usiote unatoa kikombe maana tutakupoteza katika jf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom