Mimi na choo nani unampenda?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Boy:kati ya mimi na choo unapenda nani zaidi.
GIRL: si ni wewe obvious, mbona unauliza maswali ya
kuudhi ivi?
BOY: kwa sababu ukienda chooni huwa una toa ch*pi
haraka na kwangu huwa tunasumbuana.
 
Jamaa yupo na demu wake bar,bili ikaja kaicheki,akafoka nani kanywa TOTAL hichi knywaj cha mwisho?nalipa vyote silipi TOTAL.
 
Konda: jogoo 200 temboni 300 jogoo 200 temboni 300
Chizi: nifungie jogoo watano na huyo tembo yuko wapi??
Konda: ondoa gari hawa co waendaji wanangoja punda...
 
Trafic alisimamisha gari, na maongezi yalikuwa kama hivi.
Trafic: Mbona namba za mbele tofauti na za nyuma?
Dereva: Maswari gani hayo Afande, wewe sura na makalio yako yanafanana???=) ) =D
 
Boy:kati ya mimi na choo unapenda nani zaidi.
GIRL: si ni wewe obvious, mbona unauliza maswali ya
kuudhi ivi?
BOY: kwa sababu ukienda chooni huwa una toa ch*pi
haraka na kwangu huwa tunasumbuana.
duh!!!!!!!nimecheka
 
Jamaa yupo na demu wake bar,bili ikaja kaicheki,akafoka nani kanywa TOTAL hichi knywaj cha mwisho?nalipa vyote silipi TOTAL.
hahahaaaaa, mambo ya lugha hayo, ukitaka kujua hii lugha nuksi waulize wazee wa mjengon ( wabunge)
 
Konda-magomeni 200 posta 300 magomeni 200posta 300 sista du-mi nna mia 2 posta Konda -chukua hiyo mia 2 nunua embe paka masaburi af teleza na masaburi hadi posta :)
 
Back
Top Bottom