Mimi na CCM..

matumbo

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
7,225
3,944
Naichukia sana CCM...imefikia hatua nikipanda Bus,nikigundua niliyekaa nae siti moja ni CCM.....Nipo tayari kusimama Dsm mpaka Musoma.

Sijui nifanyaje kuondoa hii hali..
 
Back
Top Bottom