mimi mgeni wana JF

pleas tell me the relation money have with knowledge

Du...
We mgeni wa aina yake..!
Ndo nini kuja na maswali badala ya salamu kwanza?
Mbaya zaidi ni kwamba swali lenyewe ni la form One, wiki ya pili!

hATA HIVYO KARIBU SANA, ....USIOGOPE!
 
Duuuh yaani wewe lazima utakuwa ni mjeuri sana - yaani hata kusalimia hujui?
 
ok salam wana jamii, poleni kwa kutowasalimu.
ila hilo swali halijibiki nini?

mwaka huu kura zote kwa Dk. wa ukweli yaani Slaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom