Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Kwanini atumie lugha Kali namna hiyo hata jk alivyokuwa anaingia madarakani kwenye semina elekezi ya ngurudoto alisema Maneno makali hivyo lakini matokeo yake tumeyaona hamna kitu kabisaa!!!!!!!!!!!!!- Maneno mazito sana hayo, yanaonyesha the man is serious, ndio tunachotaka sio kwenda huko kwenye wizara kuuuza meno na kucheka cheka, lazima wafanyakazi wajue sasa kazi, saafi sana mleta mada UBARIKIWE TU!
William.