Mimi B, Y na X

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Mie B, Na date na Dada X,
Inatokea X anakuwa MBALI nami kwa muda mrefu, najikuta Na nasa kwa Dada Y, she is hot and descent, anapata info za X, ananiulizia kuhusu X, nakana kuwa sina mahusiano tena na X (Mistake No1 ?), OFCOURSE NILISHAMAKE DECISON YA KUWA NA Y... as days goes on Y anakuwa curious sana na X, anaanza kusitasita kunipa staright answer whether amenikubali or not, mara quarral zinaanza,leo hv kesho vile,tuna settle but after one week ugomvi tena, X mara X anaanza kunitafuta tena, najikuta kutokana na Disturbance nazopata kutoka kwa Y pole pole naanza kumrudia X, niko na Y still 9Nampenda kichizi hadi kesho yani) though ma ugomvi kila kukicha, one day Y anaona sms za X kwenye simu yangu, though Y bado hajaweka wazi kuwa mie na yeye kitu na Box, ana mind sana baada ya kuona sms za X,Ugomvi unaanza upyaaa,nahisi ntampoteza Y, anaomba No ya simu ya X,nachomoa (Heri lawama kuliko Fedheha) (Mistake No2?) , anazidi kukasirika na kunishutumu kuwa nina date na X, naamua kuwa mbali na Y ili nimpe muda wa kujifikiria na mie kufikiria pia,after one week naona I real LOVE Y,namtafuta, anakuja kwangu,tunapiga story, nachombeza taratibu, HAMAD kashika simu yangu nakuchukua namba ya X, namwambia kwa confidence kabisa "Waweza m call kama una wish" (Mistake No.3 ), anasita, after 5 days ana mcall X,anamuulizia kuhusu mie, X anajimwaga mbayaa,anamwambia B ni Mume wangu,atanioa soon,na ole wake atakayejipendekeza atanitambua....
Najua Pain anayopata Y, anaamua kujitenga, hapokei call zangu wala hajibu txt zangu though email anajikongoja ku reply.
Sitak ku mdisturb Y, nataka apate amani ya Moyo na kufanya the right decision,
I real love Y, naweza sema ali delay ku show that she love Me thats y haya yote yakatokea.
Mkimuona Y mwambieni nampenda,nimeamua kuwa Mbaaaaaaaaaaali na X....
One day i will sit down na kumueleza haya yote huenda akanisamehe....
Nishaurini nifanayeje niwe na Y wandugu
I learnt a Lesson here
 
Umeshamwambia X kwamba it's over ama ulikuwa unamweka kama back-up incase it backfires with Y? nadhani hapo ndo tatizo lilipokuwa...n'way ndo nlichojifunza from ur hadith!
 
pole sana kaka for taking the lesson the hard way,.daaah!tatizo mambo haya huwa hayana formular ila kikubwa kitakachosaidia ni kuhakikisha Y anafahamu hisia zako kwake na anaelewa situation ilikuaje mpaka ikafikia hapo ilipo, only then ndio utapata masamaha na huruma yake!
 
Mie B, Na date na Dada X,
Inatokea X anakuwa MBALI nami kwa muda mrefu, najikuta Na nasa kwa Dada Y, she is hot and descent, anapata info za X, ananiulizia kuhusu X, nakana kuwa sina mahusiano tena na X (Mistake No1 ?), OFCOURSE NILISHAMAKE DECISON YA KUWA NA Y... as days goes on Y anakuwa curious sana na X, anaanza kusitasita kunipa staright answer whether amenikubali or not, mara quarral zinaanza,leo hv kesho vile,tuna settle but after one week ugomvi tena, X mara X anaanza kunitafuta tena, najikuta kutokana na Disturbance nazopata kutoka kwa Y pole pole naanza kumrudia X, niko na Y still 9Nampenda kichizi hadi kesho yani) though ma ugomvi kila kukicha, one day Y anaona sms za X kwenye simu yangu, though Y bado hajaweka wazi kuwa mie na yeye kitu na Box, ana mind sana baada ya kuona sms za X,Ugomvi unaanza upyaaa,nahisi ntampoteza Y, anaomba No ya simu ya X,nachomoa (Heri lawama kuliko Fedheha) (Mistake No2?) , anazidi kukasirika na kunishutumu kuwa nina date na X, naamua kuwa mbali na Y ili nimpe muda wa kujifikiria na mie kufikiria pia,after one week naona I real LOVE Y,namtafuta, anakuja kwangu,tunapiga story, nachombeza taratibu, HAMAD kashika simu yangu nakuchukua namba ya X, namwambia kwa confidence kabisa "Waweza m call kama una wish" (Mistake No.3 ), anasita, after 5 days ana mcall X,anamuulizia kuhusu mie, X anajimwaga mbayaa,anamwambia B ni Mume wangu,atanioa soon,na ole wake atakayejipendekeza atanitambua....
Najua Pain anayopata Y, anaamua kujitenga, hapokei call zangu wala hajibu txt zangu though email anajikongoja ku reply.
Sitak ku mdisturb Y, nataka apate amani ya Moyo na kufanya the right decision,
I real love Y, naweza sema ali delay ku show that she love Me thats y haya yote yakatokea.
Mkimuona Y mwambieni nampenda,nimeamua kuwa Mbaaaaaaaaaaali na X....
One day i will sit down na kumueleza haya yote huenda akanisamehe....
Nishaurini nifanayeje niwe na Y wandugu
I learnt a Lesson here
Chunga tamaa mbaya!!!
 
Dahhhhh vituku vya 21st century
hili tatizo ungeweza kulutatua tangu kosa la kwanza..

sasa we unadhani Y atakuamini vipi si sasa atakuwa anafikiri mkiwa pamoja unaweza kucheza mchezo uliomchezea X... kumbuka huyu ni mwanamke kama alivyo X.. sijapenda ulivyo wachanganya...

cha kufanya kuwa mkweli na nafsi yako acha usanii.. nani unampenda zaidi na kwa nini na je umpendae anakupenda? ukipata majibu ya hayo maswali then fanya ufanyalo kurudisha TRUST ya uliemchagua..
 
Pole sana kijana , ushauri wangu, bado hujachelewa mwite Y mwombe sana mkutane then mweleze yote hayo, kwamba unampenda sana na hauwezi ishi bila yeye, na muhakikishie kwamba ushaachana na X na la mwisho mjulishe x kwamba hauko nae tena umeamua unataka uwe na Y. mtakie maisha mema na usiangalie tena nyuma. nafikiri atakuelewa
 
Wewe unamtaka nan? Coz mistakes zako zote ushazigundua mwenyewe! Ungekua blinded tungekufumbua bt seems to be wise, then hata chronological yako ipo very arranged, we unampenda nan?
 
Tehe tehe acha kujihusha na wanawake waswahili swahili, ukioa tu, you will find yourself into hot soup...
 
amua unamuhitaji nani na umwambie X kama ni over ili asije akaharibu tena utakapompata Y,but kaa ukijua kuwa Y hatakuamini tena unless u can prove to her beyond any reasonable doubt kuwa you've changed- Actions speaks louder than words
 
Pole sana kijana , ushauri wangu, bado hujachelewa mwite Y mwombe sana mkutane then mweleze yote hayo, kwamba unampenda sana na hauwezi ishi bila yeye, na muhakikishie kwamba ushaachana na X na la mwisho mjulishe x kwamba hauko nae tena umeamua unataka uwe na Y. mtakie maisha mema na usiangalie tena nyuma. nafikiri atakuelewa

Blackberry, huoni kama umechanganya arrangement ya activities hapo? ama bado na wewe una-act with back-up instincts!?? kwamba Y akikataa atlist bado hujamtosa X..lol! jus thinking aloud..
 
Mie B, Na date na Dada X,
Inatokea X anakuwa MBALI nami kwa muda mrefu, najikuta Na nasa kwa Dada Y, she is hot and descent, anapata info za X, ananiulizia kuhusu X, nakana kuwa sina mahusiano tena na X (Mistake No1 ?), OFCOURSE NILISHAMAKE DECISON YA KUWA NA Y... as days goes on Y anakuwa curious sana na X, anaanza kusitasita kunipa staright answer whether amenikubali or not, mara quarral zinaanza,leo hv kesho vile,tuna settle but after one week ugomvi tena, X mara X anaanza kunitafuta tena, najikuta kutokana na Disturbance nazopata kutoka kwa Y pole pole naanza kumrudia X, niko na Y still 9Nampenda kichizi hadi kesho yani) though ma ugomvi kila kukicha, one day Y anaona sms za X kwenye simu yangu, though Y bado hajaweka wazi kuwa mie na yeye kitu na Box, ana mind sana baada ya kuona sms za X,Ugomvi unaanza upyaaa,nahisi ntampoteza Y, anaomba No ya simu ya X,nachomoa (Heri lawama kuliko Fedheha) (Mistake No2?) , anazidi kukasirika na kunishutumu kuwa nina date na X, naamua kuwa mbali na Y ili nimpe muda wa kujifikiria na mie kufikiria pia,after one week naona I real LOVE Y,namtafuta, anakuja kwangu,tunapiga story, nachombeza taratibu, HAMAD kashika simu yangu nakuchukua namba ya X, namwambia kwa confidence kabisa "Waweza m call kama una wish" (Mistake No.3 ), anasita, after 5 days ana mcall X,anamuulizia kuhusu mie, X anajimwaga mbayaa,anamwambia B ni Mume wangu,atanioa soon,na ole wake atakayejipendekeza atanitambua....
Najua Pain anayopata Y, anaamua kujitenga, hapokei call zangu wala hajibu txt zangu though email anajikongoja ku reply.
Sitak ku mdisturb Y, nataka apate amani ya Moyo na kufanya the right decision,
I real love Y, naweza sema ali delay ku show that she love Me thats y haya yote yakatokea.
Mkimuona Y mwambieni nampenda,nimeamua kuwa Mbaaaaaaaaaaali na X....
One day i will sit down na kumueleza haya yote huenda akanisamehe....
Nishaurini nifanayeje niwe na Y wandugu
I learnt a Lesson here

dogo ukiendelea na usanii huu wa kushindwa kutoa decisions,
kama mtoto wa kiume hata ndoa ainaweza kukushinda!!!!

OK, nina wasiwasi kesho utakuja na '' Z'' kwakuwa hao wengine umeshaharibu!!!!!!!
 
Pole sana kijana amua ni nani wakuwa nae then mwambie ukweli ambae utamtosa ajue mapema kuliko kuwachanganya na kuwapotezea mda wao
 
mie b, na date na dada x,
inatokea x anakuwa mbali nami kwa muda mrefu, najikuta na nasa kwa dada y, she is hot and descent, anapata info za x, ananiulizia kuhusu x, nakana kuwa sina mahusiano tena na x (mistake no1 ?), ofcourse nilishamake decison ya kuwa na y... As days goes on y anakuwa curious sana na x, anaanza kusitasita kunipa staright answer whether amenikubali or not, mara quarral zinaanza,leo hv kesho vile,tuna settle but after one week ugomvi tena, x mara x anaanza kunitafuta tena, najikuta kutokana na disturbance nazopata kutoka kwa y pole pole naanza kumrudia x, niko na y still 9nampenda kichizi hadi kesho yani) though ma ugomvi kila kukicha, one day y anaona sms za x kwenye simu yangu, though y bado hajaweka wazi kuwa mie na yeye kitu na box, ana mind sana baada ya kuona sms za x,ugomvi unaanza upyaaa,nahisi ntampoteza y, anaomba no ya simu ya x,nachomoa (heri lawama kuliko fedheha) (mistake no2?) , anazidi kukasirika na kunishutumu kuwa nina date na x, naamua kuwa mbali na y ili nimpe muda wa kujifikiria na mie kufikiria pia,after one week naona i real love y,namtafuta, anakuja kwangu,tunapiga story, nachombeza taratibu, hamad kashika simu yangu nakuchukua namba ya x, namwambia kwa confidence kabisa "waweza m call kama una wish" (mistake no.3 ), anasita, after 5 days ana mcall x,anamuulizia kuhusu mie, x anajimwaga mbayaa,anamwambia b ni mume wangu,atanioa soon,na ole wake atakayejipendekeza atanitambua....
Najua pain anayopata y, anaamua kujitenga, hapokei call zangu wala hajibu txt zangu though email anajikongoja ku reply.
Sitak ku mdisturb y, nataka apate amani ya moyo na kufanya the right decision,
i real love y, naweza sema ali delay ku show that she love me thats y haya yote yakatokea.
Mkimuona y mwambieni nampenda,nimeamua kuwa mbaaaaaaaaaaali na x....
One day i will sit down na kumueleza haya yote huenda akanisamehe....
Nishaurini nifanayeje niwe na y wandugu
i learnt a lesson here
lugha!
 
Mi navopenda hesabu ungeweka XYZ ningekudadavulia mpaka ungechoka, tehetehetehe! Ila sioni la kuku shinda hapo, mwambie ukweli wote Y ili achague kuukubali ukweli au vipi
 
Acha mchezo wa kuwa na plan B pending in case A ime fail. Vunja uhusiano wako na X for good b'se humpendi,then mtafute Y umweleze A to Z kama ulivyotueleza hapa halafu subiri huruma zake. Hata aki respond -vely usithubutu kumrudia X maana inawezekana Y bado anakuchunguza. Ukijiridhisha kuwa Y hawezi kukusamehe tena basi tafuta Z na kamwe usirudi kwa X maana utakuja kum drop tu ukikutana na mwingine utakayempenda.
 
Back
Top Bottom