Mimba

shakamohd

Member
Dec 28, 2011
49
6
Msichana mmoja alipata mimba akiwa bado ni mwanafunzi, mama yake akamwambia hivi:- Mama: mwanangu mm si nilikwambia mtu yoyote akikushikashika maziwa umwambie "DONT". Binti: ndio mama. Mama: na kama akikushikashika mapaja umwambie "STOP". Mtoto: ndiyo mama lakini yeye alinishika vyote kwapamoja namimi nikamwambia "DONT STOP"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom