Mimba za kupandikizwa

salito

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
1,408
716
Wadau habarini,hivi hizi mimba za kupandikizwa zinaweza kupandikizwa kwa kila mwanamke au kuna mazingira yanayoweza kusababisha ishindikane kwa wengine?na kwa mfano wale wanaopandikizwa huwa wananyonyesha wakishazaa au inakuwaje??
 
Back
Top Bottom