Mimba uilee wewe, mtoto umbwagie mama yako! INAHUSUUU?

KingPin

Member
Jul 21, 2009
11
3
Wahenga walisema, kulea mimba si kazi bali kazi ni kulea mtoto. Ni dhahiri kabla ya kuutoa msemo huo walizingatia mambo kadha wa kadha yanayoizunguka jamii nzima kulingana na hali halisi ya maisha ya binadamu na jinsi anavyotakiwa kuwajibika mbele ya familia yake husika.

Ingawaje msemo huo ulilenga zaidi katika malezi ya mtoto, lakini haina maana kwamba wahenga hawakutambua kuwa kabla ya mtoto kuzaliwa ni lazima malezi ya mimba yawepo, na vile vile kuwa



http://mashosti.blogspot.com/2009_07_01_archive.html
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom