mimba siku izi zinatafutwa mbali mnooo !!!!

Utafiti umeufanya au Ni kwako Peke yako?

Sasa hivi Wanawake wanaolewa na Mimba...... Au harusi huwa hauudhulii
 
Mi nafikiri tatizo liko kwa kina baba. Mwanamume wa kibongo utamsikia anasema mwenzangu hazai maana angekuwa anazaa tungekuwa na mtoto tayari. Atakuja na visingizio kibao, oh mimi nina mtoto nje. Sasa kama huyo mtoto ni wa kusingiziwa yeye atajuwaje? Jamani wanaume wa kibongo tujirekebishe!
 
binafsi naamini ndoa na watoto haviingiliani japo huwa vinakwenda pamoja.
binafsi naamini kama unaoa kwa ajili ya watoto hiyo sio ndoa ni sawa na kununua mashine ya kutotolea vifaranga
ni vizuri watu wakaelewa hivi pia.
naamini katika kumshirikisha Mungu na kupata ushauri wa madaktari kuhusu afya inaweza kutusaidia kufikia ufumbuzi.
 
kwa wanaume ili aproduce strong sperms za kuweza kufertilize ovum inabidi menu iwe safi samaki kwa wingi, proteins food fruits veg, wale wa chips yai sperms lazima ziwe weak au samtymz machine ya mwanaume ikiwa xxxL huwa inasukuma uterus so inakuwa difficult ku conceive
 
Kuna wanawake wanaamua kutumia vidonge vya majira wakiwa kwenye ndoa kwa siri bila wenzi wao kujua ati anaona aibu kubeba mimba baada tu ya ndoa, kuna rafiki wa dada yangu kaole zaidi ya mwaka sasa na hataki kubeba mimba sasa palitokea kuto elewana na mumewe dada akawa anasuruhisha kumuuliza dada ndo kaniambia hataki kubeba mimba anaogopa anataka akae kwenye ndoa kwa miaka 2 lakini jamaa hajui na anaangaika sana kumpa mimba.
 
Back
Top Bottom