Mimba miezi nane bado unataka tuu??

Mtu ana mimba ya miezi nane na ushee lakini bado tu anataka kunanihii na mumewe kisa eti kumdhibiti mumewe asitoke nje, hii imekaaje?


Kwa hiyo huwa anatoa siku zote ILI MUME ASITOKE NJE??????????

Ndio Maana ya ndoa hiyo , au ??????

I Cant understand this
 
Tena kwa kawaida unaweza kufanya tendo hilo mpaka siku yenyewe ya kujifungua haina shida kabisa, ila mara nyingi unakuta afya za wenzetu huwa hazirihusu kwa sababu ya uchovu na wengine huwa hawapendi kuwaona waume zao. Lakini kama afya ni barabara acha wafurahie ili mtoto azaliwe katika amzingira ya furaha na upendo

Haina shida hiyo kama mwanamke hana shida na ana nguvu kiasi. Ila angalizo katika hili ni ustaarabu tu katika kudo.
 
Kwa hiyo huwa anatoa siku zote ILI MUME ASITOKE NJE??????????

Ndio Maana ya ndoa hiyo , au ??????

I Cant understand this
Wengine walidhani nazungumzia ku-do. wewe kama unataka ku-do do tu hadi masaa miwili kabla mkeo hajajifungua!!
 
Wwewewewewewewewewewewewewewewewew
eweweweweweweweweweweweee
eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Naona huyo demu anataka kumuunguza mwenzake.
Ile kitu ina vipimo maalum kutoka kwa mungu hawezi kumuunguza. Hoja ni kwamba yeye anafanya hivyo eti kumzuia mume wake asitoke nje. ATAWEEZA?

 
tena inakuwaga tamu ileki k yaani. temparature inapandaga mpaka mwisho usipoangaliaga unaweza kukaangaga engine inabidi ufunge fan direct niulize mimi maana ni do na mchana nikampeleka mama hosp baada ya dk 5 nikaambiwa kitu tayari nikamchukua mama na mtoto tukaendega zetu nyumbani kuendelea ku do
 
Back
Top Bottom