Mimba miezi nane bado unataka tuu??

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Mtu ana mimba ya miezi nane na ushee lakini bado tu anataka kunanihii na mumewe kisa eti kumdhibiti mumewe asitoke nje, hii imekaaje?
 
Kwa raha zake, kama anaiweza mitikigo why not? ampe mpaka siku ya mwisho mtoto akizaliwa kama kamwagiwa mtindi.
 
tena km wanauwezo wa kufanya ,ndiyo inashauriwa kitaalamu wafanye hata mpaka siku anaingia labour ward kujifungua....medically haina madhara(ngono km tendo lenyewe lilivyo) zaidi inamsaidia mama kufanya mazoezi ya pumzi ,nyonga n.k n.k
 
Tena kwa kawaida unaweza kufanya tendo hilo mpaka siku yenyewe ya kujifungua haina shida kabisa, ila mara nyingi unakuta afya za wenzetu huwa hazirihusu kwa sababu ya uchovu na wengine huwa hawapendi kuwaona waume zao. Lakini kama afya ni barabara acha wafurahie ili mtoto azaliwe katika amzingira ya furaha na upendo
 
Hapo nakupa 100 kwa 100 ni ukweli mtupu!
 
Mtu ana mimba ya miezi nane na ushee lakini bado tu anataka kunanihii na mumewe kisa eti kumdhibiti mumewe asitoke nje, hii imekaaje?

mwanamke mwenye mimba anatoa hormone nyingi kuliko yule aliye normal....hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na wataalamu...hivyo hakuna shida katika hilo
 
Tena kwa kawaida unaweza kufanya tendo hilo mpaka siku yenyewe ya kujifungua haina shida kabisa, ila mara nyingi unakuta afya za wenzetu huwa hazirihusu kwa sababu ya uchovu na wengine huwa hawapendi kuwaona waume zao. Lakini kama afya ni barabara acha wafurahie ili mtoto azaliwe katika amzingira ya furaha na upendo
Hii nimependa sana!
Na ikiwa ameenda kujifungua hispitali ya "Private", waombe wakunga wakuruhusu upate cha mwisho kabla huko huko labour kabla mtoto hajaanza pirika za kuja duniani.
 
miezi nane mbona bado sana??naona uwatakii wenzako mema

Nashangaa!! Watu tunapiga show mpaka miezi 9 na wala haihusiani na kumdhibiti mume. Kama huna tatizo lolote na uko comfortable with it why not?
 
Back
Top Bottom