Mimba kwenye kwaya za makanisa ya kilokole

Wanakwaya waliookoka wasio na ndoa wanapataje mimba?
Maana ukiwasalimia dada mambo? Utawasikia wakijibu mambo kwa yesu.
Lakini cha kushangaza na kusikitisha ni mabingwa wa kubeba mimba kabla ya ndoa

mbona swali lako halieleweki?
tafsiri ya kuokoka ni nini? au unamaanisha wanakwaya "wanaodai wameokoka"?

hata hivyo kwani haiwezekani kushika mimba kabla ya "kuokoka" na mtu baada
ya kujkuta kwenye hali hiyo akaamua kufuata uokovu?

Wanakwaya waliookoka wasio na ndoa wanapataje mimba?
Maana ukiwasalimia dada mambo? Utawasikia wakijibu mambo kwa yesu.
Lakini cha kushangaza na kusikitisha ni mabingwa wa kubeba mimba kabla ya ndoa
Kuna mwanakwaya ushambandika mimba? au umejuaje na una uhakika gani? Kumbe na wewe mchafuzi wa mabinti? lol!
 
Jamani thread kama hii ilisababisha tukaachana na mwanaume niliyempenda sana, anaamini ukiwa mlokole 2, basi vishawishi vyote unavishinda, sasa hawa wanaopata mimba kabla ya ndoa sijui sio walokole au wanaintrest tu za kuimba kama wale wa bongo star search neno la mungu wanaloliimba wenyewe haliwahusu
 
Sasa kuna kwaya naifahamu nusu ya wanakwaya wana miwaya na robo yao washakwenda na maji.
Unajua kuna watu wanachukulia ulokole kama sifa kumbe ni maisha yako ndo ulokole.
Waache wapate mimba,na wana tabia ya kudharau wengine kuwa ni wadhambi sasa akibeba mimba huku hajaolewa si uzinzi huo
 
How does that happen when everyone knows that born again people do not know how to do that thing?
 
wanakwaya wanakwaya,
mmh ngoja nibanie coment yangu kwa sasa. i have the right to remain silent:biggrin1:
 
Sasa kuna kwaya naifahamu nusu ya wanakwaya wana miwaya na robo yao washakwenda na maji.
Unajua kuna watu wanachukulia ulokole kama sifa kumbe ni maisha yako ndo ulokole.
Waache wapate mimba,na wana tabia ya kudharau wengine kuwa ni wadhambi sasa akibeba mimba huku hajaolewa si uzinzi huo

. Ni kundi lipi la kiimani hawapati mimba,miwaya, hawafi?!.
 
Jamani binamu yangu ameokoka na anaimba kwaya,
mpole na mkimya sana.
Alipopata mimba ya kwanza akasema amebakwa akitoka kwenye mazoezi.
Akapata ya pili, akasema hata yee mwenyewe hajui imeingiaje.
Sasa ana mimba ya tatu na hamna hata aliyemuuliza ilikotokea.
 
Wanakwaya waliookoka wasio na ndoa wanapataje mimba?
Maana ukiwasalimia dada mambo? Utawasikia wakijibu mambo kwa yesu.
Lakini cha kushangaza na kusikitisha ni mabingwa wa kubeba mimba kabla ya ndoa

Buji sikiliza faza, hakuna watu wanafiki kama wanao profess ulokole wao waziwazi. Ogopa sana hao watu. Unafiki wao hauna kipimo wala mpinzani.

Kuanzia kwenye kanisa katoliki na ugay hadi kwa wokovu wasanii kama Kakobe hakuna lolote la maana. Kakobe kwa mfano anahubiri prosperity gospel....I mean, real talk, ain't that utapeli camouflaged in the name of religion/god?

Hebu m google Bshop Eddie Long wa Newbirth Missionary Church in Atlanta, Georgia uone kashfa iliyomkumba sasa.

Wanafiki wakubwa hawa watu
 
Nimeona kwye hii link hapa.
HEBU CHEKI.

hayo mengine uliyosema sina uhakika nayo, ila hapo kwenye bold umeskip the line. Kakobe ahubiri prosperity gospel. Anahubiri injili ya wokovu na kuishi kwa kumpendezesha Mungu na si wanadamu. usimfananishe na mchungaji wa kanisani kwako
 
Wanakwaya waliookoka wasio na ndoa wanapataje mimba?
kwani wasiookoka na wasio na ndoa wanapataje mimba?
 
Msanii kumbe na wewe ulikuwa miongoni mwa wale waliokesha miezi miwili wakilinda mabango?
hayo mengine uliyosema sina uhakika nayo, ila hapo kwenye bold umeskip the line. Kakobe ahubiri prosperity gospel. Anahubiri injili ya wokovu na kuishi kwa kumpendezesha mungu na si wanadamu. Usimfananishe na mchungaji wa kanisani kwako
 
Back
Top Bottom