Mimba kwenye kwaya za makanisa ya kilokole

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,822
Wanakwaya waliookoka wasio na ndoa wanapataje mimba?
Maana ukiwasalimia dada mambo? Utawasikia wakijibu mambo kwa yesu.
Lakini cha kushangaza na kusikitisha ni mabingwa wa kubeba mimba kabla ya ndoa
 
ahahhahh!! Mkuu hii ni kweli kabisa mm nna ndugu yangu mke wake alimpiga bit asiendelee kuimba kwaya tena ilikuwa sio kwaya ya vijana ilikuwa ya wazee,mke wake jamaa alianza kusoma alama za nyakati .na jamaa ni mlikole kweli kweli
 
utakimbia zambi zote ila pale kati lazima utanaswa tu piga ua galagaza pale apinduki mtu
 
Siyo wote wamwitao Bwana Bwana................... so wengine ni mbwa mwitu wanaojifanya wana kondoo, na wengine uzalendo unawashinda kwa kuwa ni wanadamu.
 
Does kuokoa means huna matamanio?? Kuna uhusiano wa kuokoka na cells za mwili? I think ni vitu viwili tofauti, so they are okay kupata mimba yaani inaonyesha pia wana mbolea
 
ile sehemu hainaga ulokole tena hawa wakipata huwa wanachizika
 
ndugu, dadako anaimba kwaya na amepata mimba, au una maana gani kuleta thread hii hapa? mimba za makanisani ni chache sana kuliko za mitaani, makanisani watu mnaona kama ni kitu cha ajabu, na kweli ni cha ajabu, lakini ya mitaani inaonekana kama ni kitu cha kawaida ndio maana hata kuipublicise haihitajiki...upo hapo kulichafua jina la kanisa au? kwasababu kwenye makanisa ujue huwa kuna watu waliokomaa kiroho na wasiokomaa kiroho, wale wanaomjua Mungu kikwelikweli hawawezi kufanya hivyo, ila wale ambao wameokoka karibuni au wanaigiza, ndo huwa wanaleta sifa mbaya kama hiyo...may God help you.
 
Wanakwaya waliookoka wasio na ndoa wanapataje mimba?
Maana ukiwasalimia dada mambo? Utawasikia wakijibu mambo kwa yesu.
Lakini cha kushangaza na kusikitisha ni mabingwa wa kubeba mimba kabla ya ndoa


Una uhakika na hapo nilipo-highlight red??? kwani ubingwa unakuja baada ya mashindano ya wabeba mimba - IN SHORT TAFADHALI TUPE PERCENTAGE AU UTAFITI ULIOFANYA - MAKANISA YA "KILOKOLE" - YA WAPI??? AFRICA, ULAYA, ASIA AU........... maana MOST OF THE COUNTRIES IN THE WORLD - HIZO KWAYA ZIPO - otherwise USIWACHAFUE - KUIMBA KWAYA NI HUDUMA MOJAWAPO MBELE ZA MUNGU
ANGALIZO: USIWAGUSE MASIHI WA BWANA
 
Waongo hao! Hakuna watu wanatongozeka kama walokole ili mradi ujue lugha na wakati gani wakutupa ndoana. Swala la sex ni complicated sana ingawa watu hupenda kuliweka kirahisi!!
 
Hii ni kutokana na kuwa wao hawatoi mimba kama wafanyavyo wengine,wanakubali kuwa wamevunja amri ya sita hawako tayari kuvunja amri nyingine ya kuua.Hawa wakijaribu tu,na unajua wakati wa yai kutoka mtu anakuwa kwenye kipindi cha kuhitaji ile kitu,hivyo huyu akiteleza kidogo tu mimba,sasa inamwia vigumu kuitoa.
 
Waongo hao! Hakuna watu wanatongozeka kama walokole ili mradi ujue lugha na wakati gani wakutupa ndoana. Swala la sex ni complicated sana ingawa watu hupenda kuliweka kirahisi!!

WATU wa dunia huwa hawaelewi tunaposema kuokoka ni necessary, na kwamba kuokoka ni lazima wakati mtu angalipo hai. hii ina maana kwamba, hauwezi kuishinda dhambi hata hiyo ya uzinzi kama haujampokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maish ayako akakupatia nguvu za kushinda uzinzi. hauwezi kujua namna gani Mungu anaweza kukufanya uuchukie uzinzi kuliko chochote kile duniani hadi pale utakapoingia kwenye zizi la kondoo. Yesu anakuita njoo hivyohivyo ulivyo, hata kama umefanya dhambi nyingi kiasi gani, anakuita hivyohivyo ulivyo, dhambi zenu zijapokuwa nyekundu zitakuwa nyeupe kam theluji, zijapokuwa kama bendera zitakuwa kama sufi...mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi, mkikataa na kuazi laana itawakalia...mwenye sikio la kusikilia na asikie!
 
Wapendwa wanayaita majini mahaba huwafuata watumishi wa mungu wakiweo wachungaji. Haya yote majina yanahalalisha zinaa, bora kuoa na kukaa na mke mmoja. Haleluya!
 
Siyo wana kwaya peke yao. kuna wadada wengi tu ambao ukiwaona ni kama dada zake Yesu........................ lakini hilo jambo limewashinda kabisaaaaaaaaaaaaaaa.................. shetani ashindwe na alegee
 
Wanakwaya waliookoka wasio na ndoa wanapataje mimba?
Maana ukiwasalimia dada mambo? Utawasikia wakijibu mambo kwa yesu.
Lakini cha kushangaza na kusikitisha ni mabingwa wa kubeba mimba kabla ya ndoa

Dunia ndivyo ilivyo Mkuu, hujasikia waalimu wa madrassa wakipelekwa mahakamani kwa kulawiti watoto wa kiumer!!, au yule shehe wa singida alie jinyonga kisa kafumaniwa na mke wa mtu!!
 
sio siri ktk kwaya kuna kamchezo kachafu,nina uhakika na nilisemalo,
inasikitisha though.
 
Back
Top Bottom