Mimba inaweza kutunga siku ya 16 baada ya kumaliza hedhi?

Mkono wa kulia au kushoto? I was kidding...sikuhiyo haiwezekani.Hesabu siku kumi na nne kutoka mwisho wa mzunguko wako.Itakapodondokea ndipo pa kuogofya au kukimbililia.Mfano 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28.
 
habari zenu mabibi/mabwana. Naomba kuuliza siku ya 16 baada ya MP, mwanamke aweza kushika mimba? Asanteni sn

Wote waliokujibu kuwa haiwezekani wamekuongopea,
Ukweli ni kwamba mimba inaweza rutubishwa siku hiyo.
Wanawake wengi hutofautiana jumla ya siku za mzunguko mzima.
Kwa ujumla huwa tunasema mwanamke huwa na siku 28 katika mzunguko mmoja.
Lakini wapo wanaoweza kuwa na chini ya idadi hiyo au hata zaidi.
Mabadiliko ya siku za mzunguko moja kwa moja huathiri siku ya "ovulation = upevukaji wa yai".
Vilevile kumbuka baada ya kupevuka, yai huwa linakuwa tayari kurutubishwa ndani ya masaa 72 kabla ya kupoteza uwezo huo.
Kuna makala moja nimeshawahi kuisoma inaelezea kuwa, upevukaji hutokea siku 14 kabla ya siku ya mwisho.

Mathalani, mwanamke mwenye siku 28 za mzunguko basi upevukaji wa yai ni [siku 28 - siku 14 = siku ya 14], huyu yai lake hupevuka siku ya 14.
mwanamke mwenye siku 29 za mzunguko basi upevukaji wa yai ni [siku 29 - siku 14 = siku ya 15], huyu yai lake hupevuka siku ya 15.
mwanamke mwenye siku 30 za mzunguko basi upevukaji wa yai ni [siku 30 - siku 14 = siku ya 16], huyu yai lake hupevuka siku ya 16.

Utaratibu huo utaendelea kuutumia kwa watu wengine kulingana na jumla ya siku zao.
 
Mkono wa kulia au kushoto? I was kidding...sikuhiyo haiwezekani.Hesabu siku kumi na nne kutoka mwisho wa mzunguko wako.Itakapodondokea ndipo pa kuogofya au kukimbililia.Mfano 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28.

Upo sahihi kwa asilimia kama 20 tu, kwa maelezo yakinifu soma bandiko langu hapo awali
 
Wote waliokujibu kuwa haiwezekani wamekuongopea,
Ukweli ni kwamba mimba inaweza rutubishwa siku hiyo.
Wanawake wengi hutofautiana jumla ya siku za mzunguko mzima.
Kwa ujumla huwa tunasema mwanamke huwa na siku 28 katika mzunguko mmoja.
Lakini wapo wanaoweza kuwa na chini ya idadi hiyo au hata zaidi.
Mabadiliko ya siku za mzunguko moja kwa moja huathiri siku ya "ovulation = upevukaji wa yai".
Vilevile kumbuka baada ya kupevuka, yai huwa linakuwa tayari kurutubishwa ndani ya masaa 72 kabla ya kupoteza uwezo huo.
Kuna makala moja nimeshawahi kuisoma inaelezea kuwa, upevukaji hutokea siku 14 kabla ya siku ya mwisho.

Mathalani, mwanamke mwenye siku 28 za mzunguko basi upevukaji wa yai ni [siku 28 - siku 14 = siku ya 14], huyu yai lake hupevuka siku ya 14.
mwanamke mwenye siku 29 za mzunguko basi upevukaji wa yai ni [siku 29 - siku 14 = siku ya 15], huyu yai lake hupevuka siku ya 15.
mwanamke mwenye siku 30 za mzunguko basi upevukaji wa yai ni [siku 30 - siku 14 = siku ya 16], huyu yai lake hupevuka siku ya 16.

Utaratibu huo utaendelea kuutumia kwa watu wengine kulingana na jumla ya siku zao.

kumbuka huyu kasema baada ya mp yaani ile siku ya mwisho ya bleed halafu uesabie siku kumi na sita.
 
bado hiyo kanuni niliyoainisha inatoa jibu mkuu, maana hatujui muhusika anaenda mzunguko wa siku ngapi kwa jumla
 
Nilifanikiwa ndugunyangu, mwaka 2014, ila bby alipofikisha umri wa miezi 8, Mungu akampenda zaidi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom