Mimba imeingia...mwanamke ni mgonjwa mgonjwa..tutaitowaje? Msaada jamani

imba wimbo wa sikuukuuuu siku ile ya kuosha dhambi za ngu kuuuuuu
umwambie Mungu ahsante ...atakaekushauri kutoa na alaaniwe maisha awe mwana jf ama lah na akiwa mwanamke na asipate mtoto milele

P didy dini ina mipaka yake ... Kama mimba inahatarisha maisha ya mama ... Hakuna alternative nyingine ...

Ushauri kwa mtoa mada ..nenda na mkeo clinic wakamuangalie vizuri
 
Mkuu nakushauri msitoe mimba labda tu kama hakuna solution nyingine ambayo mkeo atabaki salama wakati wa kulea mimba na hatimaye kujifungua. kama walivyoshauri wadau hapo juu, waone wataalamu watakushauri ipasavyo. nimejifunza mengi sana kuhusu utoaji wa Mimba kwa walio kwenye ndoa, si jambo jema hata kidogo. Namuombea kwa Mungu mkeo apate uzima, tena uzima tele amuwezeshe kubeba hicho kiumbe kisicho hatia kwa salama na hatimaye ajifugea salama - inshalla.
 
Mkuu nakushauri msitoe mimba labda tu kama hakuna solution nyingine ambayo mkeo atabaki salama wakati wa kulea mimba na hatimaye kujifungua. kama walivyoshauri wadau hapo juu, waone wataalamu watakushauri ipasavyo. nimejifunza mengi sana kuhusu utoaji wa Mimba kwa walio kwenye ndoa, si jambo jema hata kidogo. Namuombea kwa Mungu mkeo apate uzima, tena uzima tele amuwezeshe kubeba hicho kiumbe kisicho hatia kwa salama na hatimaye ajifugea salama - inshalla.

sawa mkuu!
 
usitoe lea bwana,nilizaliwa kwa upasuaji na mwaka mmoja baadae mdogo wangu akazaliwa...na kulikuwa hamna shida yoyote,wanasema ni chances tu za kupata complication hawamaanishi kila mtu atapata complication akibeba.

tusibahatishe,eti kwakuwa wewe ulipona by chance nawengine waendelee kufanya uzembe.hakuna nenda hospital wamtoe hiyo mimba unazidi kuchelewa.
 
P didy dini ina mipaka yake ... Kama mimba inahatarisha maisha ya mama ... Hakuna alternative nyingine ...

Ushauri kwa mtoa mada ..nenda na mkeo clinic wakamuangalie vizuri

sawa mkuu
 
nina rafiki yangu alipata mtoto wakiume kwa operation baada ya miezi 3 mtoto akafariki mama akalia kwa uchungu sana baada ya mwaka akapata ujauzito mimba ikawa imetungwa nje ya kizazi madaktari wakamgombeza sn kwanini amebeba mimba mapema ikabidi wampasue watoe mimba hiyo wakakuta anauvimbe kwenye fuko wamayai wakautoa, wakampa onyo kali asibebe mimba ndani ya miaka 4 lkn ndani ya mwaka akawa na mimba tena ikabidi ilivyofika miezi 7 wampasue watoe mtoto. HII ILIKUA NI HATAR SANA ILA MUNGU ALIMSAIDIA
 
Amuweni kuilea mimba na muwe na watoto wawili atakapozaliwa. Nilipata same experience wa kwanza alikuwa na miezi mitano mara mamake kadaka mimba ya pili akazaliwa wakiwa na tofauti ya miezi 13 tu. Mimba ya kwanza mke alipata shida kubwa sana matatizo juu ya afya yake. Alilazwa hospital mara 3 na kupumzishwa mara kadhaa. Mimba zote alizaa kwa operation. Cha ajabu mimba ya pili haikuwa na complication kabisa. Tunashukuru watoto wako ok na mama yao pia. Kila jambo lina majaaliwa ya Mungu.
 
Hivi kutoa mimba kunatofauti gani na kutumia vidonge ili kuzuia mimba au kuvaa kondomu siku ya kupata mimba mwanamke?
 
imba wimbo wa sikuukuuuu siku ile ya kuosha dhambi za ngu kuuuuuu
umwambie Mungu ahsante ...atakaekushauri kutoa na alaaniwe maisha awe mwana jf ama lah na akiwa mwanamke na asipate mtoto milele

Mkuu........hata kama anachotaka kufanya si kizuri, kama wewe ni mkristo, kulaani pia hairuhusiwe. Pole.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi kutoa mimba kunatofauti gani na kutumia vidonge ili kuzuia mimba au kuvaa kondomu siku ya kupata mimba mwanamke?

Kuna tofauti sana. unatumia njia za mpango wa uzazi kuzuia mimba, while kutoa mimba ni hatua nyingine: Mimba ilishatungwa, na wewe unakiondoa hicho kiumbe kilichotungwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mm nakushauri msitoe mimba hiyo, bali hakikisha mke wako anahuduria clinic zote na aeleze kuwa mtoto wa awali alizaliwa kwa operesheni tarhe......... ili apate special medical attetion/services.

Sababu zinazonisukuma kukushauri usitoe mimba ni hizi zifuatazo-
1. watu wengi walishapatwa na tatizo kama lako, waliacha watoto wakazaliwa na wanaishi mpaka leo. tena ww una nafuu mm nina uncle wangu mke wake alipata mimba ya pili wakati mtoto wa kwanza alikuwa na miezi 9, hawakutoa bali lihudhuria clinic zote tena ilikuwa kijijiini na alijifungua salama na huyo mtoto na mwenzake wamemaliza sekondari,ukiwaona unaweza kudhani ni mapacha. hivyo, usitoe mwache mke wako azae chini ya usimamizi wa daktari

2. kutoa mimba ni kosa la jinai ndio maana mara nyingi hufanyika vifichoni na huleta madhara makubwa kuliko hata kuacha mtoto azaliwe chini ya uangalizi wa daktari

3. kutoa mimba kunaleta madhara makubwa ya kisaikolojia/kiakili ya kudumu kwa mwanamke na nafsi yake haitapata amani kamwe na ukimshawishi atakuja kukulaumu baadae na kusababisha ndoa yako kukosa amani

4. katika mambo ya kidini kutoa mimba ni sawa na kuua ambayo huleta laana kwa familia nzima na kwa kila aliyeshiriki.Inajumuisha kukosa furaha moyoni, kuzaa watoto wasio watii, kuwa tasa, kukosa amani katika doa,kuwa na hukumu ya moyoni yaani hilo tukio hutalisahau kabisa litakuhukumu daima

Jiulize hivi mama yako angetoa mimba yako je ww ungekuwepo leo?

msikilize Mungu na mwombe Mungu atakupa kuzaa huyo mtoto bila tatizo,

umenielew?
 
Ni kwa sababu gani alifanyiwa operation ya kwanza? Bado naona hamna sababu ya ku abort, akianza klinic mapema na akawa kwenye
uangalizi mzuri wa wataalamu, nadhani anaweza kumaliza hiyo safari yake salama. Otherwise kila lakheri...
 
better onana na daktari wa wazazi ili apime afya ya mkeo ndio ataweza kukupa ushauri wa kitaalamu,poleni sana we wish u all the best
 
MKE WANGU ANA MTOTO WA MWAKA 1 NA NUSU.AFYA YAKE NI MGOGORO.NA ALIJIFUNGUA KWA UPASUAJI.NI MTOTO WETU WA 1.HOSPITAL WALISHAURI ANGALAU AKAE MIAKA 3 HADI 4 NDIO AZAE TENA.ALIKATAA KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO ZILE ZA KUAMINIKA AKIHOFIA MADHARA YA NJIA HIZO.TUKAAMUA KUTUMIA KALENDA.TUMEKOSEA HESABU NA MAMA HAYUPO TAYARI KUBEBA MIMBA KWANI ITA HATARISHA MAISHA YAKE.UAMUZI TULIOFIKIA NI KUTOA MIMBA.JE TUKIENDA HOSPITALI WATATUELEWA MADAKTARI?
Nb:NAOMBA MSIHUSISHE MADA HII NA MASUALA DINI YOYOTE.TUJADILI UHALISIA KWANI NIMESHAULIZA KIDINI NA NIMEPATA MAJAWABU YAKE.NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU WATAALAMU.
siku zote mtu aombapo ushauri huwa ana jibu anaolifikiria tayari,najua una nia ya kutoa hiyo mimba ila basi tu uinatafuta sapot,kwa ushauri wangu ni bora avumilie kuliko kutoa hiyo mimba maana ni hatari kwa maisha yake,atapoteza uhai hivihivi anajiona amuache mtoto wake ana teseka.binafsi sishauri kutoa mimba.
 
kama ni tatizo kuwa alifanyiwa operation hii si sababu sana ya kutoa mimba, kikubwa ni kuwa mkeo atakuwa na weak scar hivyo muda wa kujifungua ukifika anatakiwa asianze uchungu coz anaweza rupture uterus mkichelwa hapa atapoteza damu nyingi na pengine akicheleweshwa sana anaweza poteza maisha.
Ushauri aende hospital apate ushauri na kama itashindikana basi ahudhurie clinic mara kwa mara, na pale anapopata tatizo kidogo aonane na dr. Ni vema ukawa na dr mmoja wa kumwona. Kama upo dar mwone dr kamugisha huwa anashauri vema sana.
Nakutakia malezi mema

yo rite,mi nilizaa kwa operation nikapata mimba mtoto akiwa na mwaka na mwezi mmoja,nilisumbuka kiasi kikubwa but it worth it. Niliattend clinic pale muhimbili kwa dr kamugisha na alinifanyia operation sasa nna kabint kangu.

But inahitaji apumzike sana as mwili unakua hauja recover from the previous pregnancy.

Plz plz plz dont do arbotion
 
Umekuja kuomba ushauri basi tutakupa

Sasa tatizo la kubeba mimba ingine itamdhuru vipi? Mie najua wanawake wenye watoto mwaka mmoja wamejifungua section na wanajifungua mwingine kwa section bila tabu.

Kitu ni kwamba asijifungue tena kwa kupitisha as kama tissues hazijaondoka atatoka damu zitapasula.

Mungu anawabariki, tafuteni solution ipi ili akae home alee mimba na atajidfungua kwa section bila tabu.
 
pole sana kaka yangu,
Akiwa kwenye care nzuri ya daktari kama wengine wanavyo shauri sio tatizo kubwa, hata dada yangu kajifungua mapema mtoto wa kwanza kwa operation, iliyofuata kajifungua pasipo operation, labda kama atakuwa na matatizo mengineyo. Mungu yupo na atawasaidia.
 
imba wimbo wa sikuukuuuu siku ile ya kuosha dhambi za ngu kuuuuuu
umwambie Mungu ahsante ...atakaekushauri kutoa na alaaniwe maisha awe mwana jf ama lah na akiwa mwanamke na asipate mtoto milele
Yale yaleeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom