Mimba imeingia...mwanamke ni mgonjwa mgonjwa..tutaitowaje? Msaada jamani

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
MKE WANGU ANA MTOTO WA MWAKA 1 NA NUSU.AFYA YAKE NI MGOGORO.NA ALIJIFUNGUA KWA UPASUAJI.NI MTOTO WETU WA 1.HOSPITAL WALISHAURI ANGALAU AKAE MIAKA 3 HADI 4 NDIO AZAE TENA.ALIKATAA KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO ZILE ZA KUAMINIKA AKIHOFIA MADHARA YA NJIA HIZO.TUKAAMUA KUTUMIA KALENDA.TUMEKOSEA HESABU NA MAMA HAYUPO TAYARI KUBEBA MIMBA KWANI ITA HATARISHA MAISHA YAKE.UAMUZI TULIOFIKIA NI KUTOA MIMBA.JE TUKIENDA HOSPITALI WATATUELEWA MADAKTARI?
Nb:NAOMBA MSIHUSISHE MADA HII NA MASUALA DINI YOYOTE.TUJADILI UHALISIA KWANI NIMESHAULIZA KIDINI NA NIMEPATA MAJAWABU YAKE.NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU WATAALAMU.
 
Mmh bora mwende hospital nadhan ndo mtapata kushauriwa zaidi juu ya nini mfanye...
 
nenda kawaone wataalamu wakushauri unaposema madaktari hawatakuelewa una maana gani uhai na afya ya mkeo ni kitu cha muhimu sana.
 
imba wimbo wa sikuukuuuu siku ile ya kuosha dhambi za ngu kuuuuuu
umwambie Mungu ahsante ...atakaekushauri kutoa na alaaniwe maisha awe mwana jf ama lah na akiwa mwanamke na asipate mtoto milele
 
Pdidy anayea laani na alaaniwe
 
imba wimbo wa sikuukuuuu siku ile ya kuosha dhambi za ngu kuuuuuu
umwambie Mungu ahsante ...atakaekushauri kutoa na alaaniwe maisha awe mwana jf ama lah na akiwa mwanamke na asipate mtoto milele

NIMEKWAMBIA USIHUSISHE MADA HII NA IMANI YOYOTE YA KIDINI.TAFADHALI KUWA MWELEWA MKUU.JE WEWE NDIYE MTOA HUKUMU????WEWE UPO KAMILI???MPAKA NIMEWEKA MADA HAPA TAYARI NISHA PITIA KONA ZOTE MUHIMU KUHUSIANA NA HILI JAMBO.NILIBAKIZA JF DOCTORS TU ILI NIPATE UFUMBUZI KAMILI.WEWE NI DOKTOR????TAFADHALI USINIKWAZE.naweza kukukwaza zaid!
 
usitoe lea bwana,nilizaliwa kwa upasuaji na mwaka mmoja baadae mdogo wangu akazaliwa...na kulikuwa hamna shida yoyote,wanasema ni chances tu za kupata complication hawamaanishi kila mtu atapata complication akibeba.
 
Rudi kwa dk aliyemzalisha umueleze kila kitu. Baada ya kumuangalia afya yake atakuambia cha kufanya.
Nimevutiwa na kitu kimoja kwako, wewe ni mwanaume muwajibikaji. Unaona kuwa makosa ni yenu wote na mnahitaji kupata suluhisho kwa pamoja. Hongera, mko wachache. Haya, mkono kwa mkono hadi kwa gynae eh.
 
wataalamu ndo wanaweza kukushauri vzr ndugu...unaweza kuwaona na bado wakakwambia mama atajifungua salama...so kikubwa ni kuwaona kwanza kabla hamjafikiria kuitoa..na ukienda kwa dokta usimwambie km mnaitaji kutoa kwa sbb ya afya ya mama. mwambie dokta mke kapata mimba kwa bahati mbaya coz tuliambiwa atakuwa sawa baada ya kipindi fulani so tumekuja kwa ushauri then wenyewe watajua wanakusaidieni vp... pole mkuu
 
Kama ni tatizo kuwa alifanyiwa operation hii si sababu sana ya kutoa mimba, kikubwa ni kuwa mkeo atakuwa na weak scar hivyo muda wa kujifungua ukifika anatakiwa asianze uchungu coz anaweza rupture uterus mkichelwa hapa atapoteza damu nyingi na pengine akicheleweshwa sana anaweza poteza maisha.
Ushauri aende hospital apate ushauri na kama itashindikana basi ahudhurie clinic mara kwa mara, na pale anapopata tatizo kidogo aonane na Dr. Ni vema ukawa na Dr mmoja wa kumwona. Kama upo Dar mwone Dr Kamugisha huwa anashauri vema sana.
Nakutakia malezi mema
 
Four and a half star advice, nimeupenda sana huu ushauri, mkuu fanya hivyo, cha muhimu ni kuweza kupata solution nzuri ambayo itakuwa reasonable. Pole na majukumu mkuu. . .
 
asante nitafanyia kazi
 
Kama ni tatizo kuwa alifanyiwa operation hii si sababu sana ya kutoa mimba, kikubwa ni kuwa mkeo atakuwa na weak scar hivyo muda wa kujifungua ukifika anatakiwa asianze uchungu coz anaweza rupture uterus mkichelwa hapa atapoteza damu nyingi na pengine akicheleweshwa sana anaweza poteza maisha.
Ushauri aende hospital apate ushauri na kama itashindikana basi ahudhurie clinic mara kwa mara, na pale anapopata tatizo kidogo aonane na Dr. Ni vema ukawa na Dr mmoja wa kumwona. Kama upo Dar mwone Dr Kamugisha huwa anashauri vema sana.
Nakutakia malezi mema

nashukuru mkuu
 
wataalamu ndo wanaweza kukushauri vzr ndugu...unaweza kuwaona na bado wakakwambia mama atajifungua salama...so kikubwa ni kuwaona kwanza kabla hamjafikiria kuitoa..na ukienda kwa dokta usimwambie km mnaitaji kutoa kwa sbb ya afya ya mama. mwambie dokta mke kapata mimba kwa bahati mbaya coz tuliambiwa atakuwa sawa baada ya kipindi fulani so tumekuja kwa ushauri then wenyewe watajua wanakusaidieni vp... pole mkuu

sawa mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom