Milya mpya anamwitaje eduward lowasa wa zamani?

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Kwa ujumla ukianzia ngazi ya juu hadi ngazi ya matawi ya Chadema jina la Mh Lowasa linawekwa ktk kapu la Watuhumiwa wa Ufisadi.
Jee milya mpya anamwitaje EL kwa sasa?
Msafi
Fisadi?
 
Chadema ilisha m label - Mtuhumiwa wa ufisadi. Nategemea Millya ataendelea kumwita Fisadi.
 
Tusubiri tusikie kama atathubutu ataweza na atasonga mbele kumuita Baba yake fisadi :shut-mouth:
 
Back
Top Bottom