Milya alikuwa mzigo kwetu - ccm

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
397
81
Nimesikia uchambuzi wa magazeti asubuhi ya leo kupitia MAGIC FM,gazeti la uhuru wameandika kuwa Milya alikuwa ni mzigo kwa ccm na kwamba alikuwa ni mmoja wa magamba yaliyokuwa yanategemewa kujivua.Kama Milya alikuwa ni mtu wa karibu sana na Mheshimiwa Lowasa mpaka akawa anajulikana kama mtu wa Lowasa na hapa CCm wanadiriki kusema waziwazi kuwa Milya alikuwa ni mmoja wa magamba yaliyokuwa yanategemewa kujivua,je hii kauli inamaanisha nini kwa Mheshimiwa Lowasa?.Je ni kweli kuwa Lowasa Ni Gamba ndani ya CCM?.
 
Magamba ni watu wa aina ya "sizitaki mbichi hizi"!!.
 
Nimesikia uchambuzi wa magazeti asubuhi ya leo kupitia MAGIC FM,gazeti la uhuru wameandika kuwa Milya alikuwa ni mzigo kwa ccm na kwamba alikuwa ni mmoja wa magamba yaliyokuwa yanategemewa kujivua.Kama Milya alikuwa ni mtu wa karibu sana na Mheshimiwa Lowasa mpaka akawa anajulikana kama mtu wa Lowasa na hapa CCm wanadiriki kusema waziwazi kuwa Milya alikuwa ni mmoja wa magamba yaliyokuwa yanategemewa kujivua,je hii kauli inamaanisha nini kwa Mheshimiwa Lowasa?.Je ni kweli kuwa Lowasa Ni Gamba ndani ya CCM?.

Nahisi naye atahamia CHADEMA siku si nyingi.
 
Huyo mbumbumbu aliyetoa kauli hiyo ni mmoja kati ya wale watu ambao huita waandishi wa habari bila kujua anataka kuongea nini, hata aongeapo hajui anaongea nini na akishamaliza kuongea huwa hajui madhara ya alichokiongea.

Nionavyo mimi, ameonesha ni jinsi gani CCM ilivyo dhaifu. Kama Millya alikuwa mzigo, nini kiliwazuia kuutua mapema? Kwa hiyo (kwa mujibu wake), CCM ikipatwa na ugonjwa, basi wao busara yao ni kuuacha upone wenyewe na si kutafuta tiba.
 
kila mtu ana uhuru wa kuchagua chama apendacho na sioni ajabu watu kuhamahama vyama maana wengine wanaona fashion kuhama ili wapate umaarufu. dhamira ya kweli katika kuleta mabadiliko si siasa ya kupakana matope, mbona kabla ya kujitoa ccm hawakumwita mzigo mpaka amejitoa ndo tunayasikia haya. nawe millya ukihama ulipokulia usikashifu kupitiliza yawezekana kuna baadhi mema uliyopata kutoka kwao mpaka ukafika hapo, cha msingi uwe kweli unamabadiliko ya kuijenga nchi.
jamani zama za unafiki tuache tufikirie namna ya kukuza demokrasia kwa kushindanisha sera.
ujumbe kwa vyama ni: jengeni hoja zenye chachu ya maendeleo kwa wananchi, kumbukeni bila wanajamii nyie wanasiasa ni bure tu
 
Lowassa kamwe hatoihama CCM.
Aliyekukaririsha hii sentensi alifanya kazi ya ziada mana imekukaa sawasawa unaiandika kama ilivyo kwenye kila thread bila kuhariri hata nukta...!una kazi sana na lowassa wako aisee
 
Nimesikia uchambuzi wa magazeti asubuhi ya leo kupitia MAGIC FM,gazeti la uhuru wameandika kuwa Milya alikuwa ni mzigo kwa ccm na kwamba alikuwa ni mmoja wa magamba yaliyokuwa yanategemewa kujivua.Kama Milya alikuwa ni mtu wa karibu sana na Mheshimiwa Lowasa mpaka akawa anajulikana kama mtu wa Lowasa na hapa CCm wanadiriki kusema waziwazi kuwa Milya alikuwa ni mmoja wa magamba yaliyokuwa yanategemewa kujivua,je hii kauli inamaanisha nini kwa Mheshimiwa Lowasa?.Je ni kweli kuwa Lowasa Ni Gamba ndani ya CCM?.

Wajua CCM bwana hicho cha Milya kujiengua CCM kimewauma sana na matokeo yake ni kuwa CCM huwa hawapendi kuambiwa ukweli wa mambo na Milya alikuwa mwiba kwenye kamati zao alikuwa anawapelekesha sana.

Leo hii katoka Nape anasema ati ni mzigo ni huyu huyu nape alianzisha vuguvugu la vijana kuhakikisha wazee tukutu ndani ya CCM wanatoka ghafla Nape kawa mwingine tena baaada ya kutishiwa sana kipindi cha nyuma na hii ni dalili mbaya kwa mwana siasa kijana kuyumba kwani CCM ni baba au mama yake?? me kwangu ni kuwa Nape anaburuzwa ndani ya CCM na kuwa mtumwa wa vigogo fulani nadni ya CCM

Kwa halii kamwe CCM haito songa na kutoka kwa Milya UVCCM si yeye wa kwanza hapo hapo Arusha mwaka Jana mjumbe mwingine mwenye nguvu na jina kubwa tu wa UVCCM wilaya ya Arusha Alijiengua CCM na kuhamia CHADEMA 1/8/11 mkutano wa NMC na jana M/Kiti wa UVCCM nae kahamia Chadema, Ni pingo UVCCM_arusha nani wazi kuwa CCM arusha ni siasa chafu na ningumu sana kuwa kiongozi makini ndani ya CCM Arusha ukawa unaiambia CCM kweli uongozi wa CCM arusha ni wakibabe sana na siasa zao ni zawenyewe na ndio maana UVCCM Arusha itabakia kuwa watumwa wa viongozi siku zote.

Baada ya huku tata ya Mbunge wa CDM G.Lema tayari CCM wao walisha anza kunyanyuana wakifikili kuwa uchaguzi unarudiwa na lengo lao sasa sio tena batilda hii ni inaonyesha wazi kuna mpasuko mkubwa sana CCM wilaya ya Arusha

Back
Top Bottom