Millya: Nape ni vuvuzela na saratani ndani ya CCM

Mkuu Mbona ikitu ni ya siku Mingi na Siyo Ya Leo!

Acha kutu enjoy basi Arifuuuuuuuu........au kitu cha udonyosambu kinaleta shida?
 
I am a northerner but NO you cant drag me into this.... unatumia kanda ya kaskazini kutengeneza chaumvinism isiyo ya kweli.
 
Wote niliowarudisha kwenye post, tafadhali naomba maoni yenu, kwani mlicho kitabiri sasa kimetimia.
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom