Milipuko ya mabomu stockholm sweden-kiswahili chahusishwa

"Hakika dini ya haki mbele ya Mwenyezi mungu ni Uislam" Quran: Al Imran 3:19
"Na bila shaka tulimpeleka mtume katika kila umma, ya kwamba muabuduni mwenyezi mungu na mwepukeni shetani" Quran 16:36
" Na kila kaumu ina kiongozi wake" Quran 13:7
(Na mitume ni hawa tunaowafuata na si Muhammad s.a.w, pekee; Adam a.s, Idris a.s, Nuh a.s, Hud a.s, Salih a.s, Ibrahim a.s, Lut a.s, Ismail a.s, Is-haq a.s, ya'qub a.s, Yusuf a.s, Shu'ayb a.s, Ayub a.s, Dhul-kifl a.s, Musa a.s, Harun a.s, Daud a.s, Sulayman a.s, Ilyas a.s, Alyasa a.s, Yunus a.s, Zakarriya a.s, Yahya ibn Zakarriya a.k.a Yohana Mbatizaji a.s, Issah a.k.a Yesu a.s, Muhammad s.a.w)
"Enyi watu muabuduni mola wenu aliyekuumbeni na akaumba waliokuwa kabla yenu ili mpate kuokoka" Quran 2:21
" Wala hakuweka mambo mazito katika dini, dini hii (islam) ni mila ya baba yenu Ibrahim, Mwenyezi mungu aliwaita waislam tangu katika vitabu vya mwanzo (Tourat, Zabur na Injil) na katika Quran hii pia" Haji 22:78
Muhammad s.a.w, ni Nabii wa Mwisho, Quran,Al Ahzaab 33:40
Tafadhali ondoa uzushi wa hicho kitu "Muhamedans" jina letu tunaitwa Waislam, period

Hapo kwenye rangi pamenishangaza, kumbe na uislam unatambua "WOKOVU"?
 
Unalo!? nimemalizi mchezo, ndio maana nilisema Mmbu anafaida kubwa sana duniani............... kuliko ***** wewe! Maana Mmbu anaweza kukudunga Malaria ukatokomea na kiburi chako kisicho na maana!

Timothe 6:16, "Ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti"
Quran, 2:255,"Hapana mola ila yeye mwenye uhai wa milele"
Quran, 4:1, "Enyi watu, mcheni Mola wenu ambaye amekuumbeni katika nafsi moja(Adam) na akamuumba mkewe (Hawa) katika nafsi ile ile na akaeneza wanaume wengi na wanawake"

Ukitaka kuwa mfuasi mzuri wa dini ya ki-islamu, usisome kwa umakini Quaran wala usiwe mdadisi hata wakutumia logic tu, wewe msikilize maalimu au shehe na utekeleze yote utakayo ambiwa! Kama akikwambia kajifunge mabomu ukajilipue-nenda. Usimwulize kwa nini yeye asianze ili aende ahera akapewe mademu kibao wenye macho kama vikombe!

-Hapo kwenye blue color, nijuavyo mimi ni kwamba DINI YA KWELI inasisitiza AMANI KWA WOTE! Mcha Mungu wa kweli humuombea mabaya hata adui yake. Mungu mwenyewe hutoa rizki kwa wote-wamchao na wasimcha. Hunyeshea mvua mashamba ya wote! Iweje sisi tu-uane ama kombeana vifo? Kitu ama mdudu anaefisha nafsi aonekane ni bora kuliko Mwanadamu?

-Kwenye red color inaonesha uwezo wa Mungu wa kuumba na kuitia uhai nafsi moja na nyingine ikapata nafsi kutoka kwa nyenzake! Hapa inahitaji uwezo mkubwa wa akili kuelewa jambo hili. Vivyo hivyo wakristo wanaposema YESU (siyo Issa) ni mwana wa Mungu, wasishutumiwe ni imani yao, wala usibebe bomu kwenda kuwalipua! Kwa sababu akili ya Mungu HAICHUNGUZIKI!
 
Moderators,

Thread hii imekosa mwelekeo. Imekuwa ya kushambuliana tu na sheria msingi za mijadala ya hapa nadhani zote hazizingatiwi.

Hata ikiachiwa kuendelea naona inajenga mazingira ya kututenga na kututofautisha kwa dini zetu. Hivi mjadala ukiendelea tutafikia wapi na nani atakuwa mshindi?

Nadhani thread kama hii inakinzana na sifa ya blog hii kuwa the Home of great thinkers. Great thinkers hujadili masuala mazito. Watu akianza kuitana kunguni na heshima ya hapa inashuka.

Please, Please do something about it, JF isiwe sehemu ambayo chuki za kidini na udini unakuzwa Tanzania. Plzz, plz.

Hata mchele haupatikani bila kutoa pumba, na pumba na mchele ni kama uji na mgonjwa. Cha kufanya ni wewe msomaji kuangalia hoja zipi zina maana na kuzifanyia kazi. Wadini na hoja zao mbofumbofu wewe zipotezee, ila zile posts zilizosimama zifanyie kazi.
 
Wakatoliki wanaomba misamaha kila kukicha kwa kudhulumu watoto wahudumu wa Kanisa( Papa mwenyewe ameomba msamaha kwa hiyo dhulma!), Unamkumbuka Padri Kimaro? unajua yaliyojiri Moshi hivi karibuni? (Padri Mkatoliki) Je unajua Uislam unazungumziaje jambo hilo? unajua adhabu yake katika Uislam? Ni watu gani wanahangaika kuhalalisha tendo hilo(ati wanaume na wanawake waoane wao kwa wao)? angalia boriti jichoni kwako ndugu yangu, sie hatucheki nao hao!
crap
 
Hapo kwenye rangi pamenishangaza, kumbe na uislam unatambua "WOKOVU"?

......... tehee .... tehee ...... tihii ! Tunashangaa kila siku kutugongea milango majumbani mwetu, ati tumfuate Y........ ili tuokoke !
sie ni wafuasi wake tokea kitambo!
"Msidhani kuwa nalikuja kuitangua Tourat au Manabii, la ! sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana ........ amin nawaambia, mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka yodi moja wala nukta moja ya Tourat haita ondoka, hata yote yatimie" Mathayo 5:17-48
"Mkinipenda, mtazishika amri zangu.............." Yohana 14:15-16
" Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe 'Mungu wa pekee na wa kweli' na Yesu Kristo 'uliye mtuma'
"(na wakumbushe watu )alipo sema Issah bin Maryam (Yesu).......... Enyi wana wa Israil ! hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu aliye letwa kwenu nyinyi. Mwenye kusadikisha yaliyo kabla yangu katika Tourat na mwenye kubashiri mtume mwingine atakae kuja baada yangu, jina lake ni Ahmad" Quran Suratil Saff aya 6.
 
Ukitaka kuwa mfuasi mzuri wa dini ya ki-islamu, usisome kwa umakini Quaran wala usiwe mdadisi hata wakutumia logic tu, wewe msikilize maalimu au shehe na utekeleze yote utakayo ambiwa! Kama akikwambia kajifunge mabomu ukajilipue-nenda. Usimwulize kwa nini yeye asianze ili aende ahera akapewe mademu kibao wenye macho kama vikombe!

-Hapo kwenye blue color, nijuavyo mimi ni kwamba DINI YA KWELI inasisitiza AMANI KWA WOTE! Mcha Mungu wa kweli humuombea mabaya hata adui yake. Mungu mwenyewe hutoa rizki kwa wote-wamchao na wasimcha. Hunyeshea mvua mashamba ya wote! Iweje sisi tu-uane ama kombeana vifo? Kitu ama mdudu anaefisha nafsi aonekane ni bora kuliko Mwanadamu?

-Kwenye red color inaonesha uwezo wa Mungu wa kuumba na kuitia uhai nafsi moja na nyingine ikapata nafsi kutoka kwa nyenzake! Hapa inahitaji uwezo mkubwa wa akili kuelewa jambo hili. Vivyo hivyo wakristo wanaposema YESU (siyo Issa) ni mwana wa Mungu, wasishutumiwe ni imani yao, wala usibebe bomu kwenda kuwalipua! Kwa sababu akili ya Mungu HAICHUNGUZIKI!
Haya mambo uliyo yaandika hapa yanapatikana sana kule church! Maana hakuna kuuliza kule.
 
1. Kila Muislam ni mdadisi, na tunaruhusiwa kuuliza maswali kadiri tuwezavyo ! hata wewe uliza maswali kuhusu Uislam unavyotaka na utajibiwa. Ikiwa ni ya kijiweni au ya kitabu ............ utajibiwa!
2. Aya niliyokupa inajitosheleza kuhusu Dini ya kweli! nimetoa Aya na wewe toa aya kutetea hoja yako, sio maoni yako. Kama umekosa unaweza ku Quote aya za Shigongo au Salman Rashdie, lakini maoni yako ni dhaifu!
3. Mmbu akimuua mtu alietengeneza Nuclear, ametenda haki na ametimiza wajibu wake wa kuwepo hapa Duniani ! ................ hata akimpa Malaria Abdulhalim anae dai hakuna ''Mungu" then mmbu ameonyesha mungu yupo!
4. Unafahamu habari ya kuwa "Hawa" (mwanamke) aliumbwa kutokana na ubavu wa Adam (mwanaume)? ............. "Nafsi ile ile(ubavu wa mwanaume) ikaumba nafsi nyingine, kisha watu wakaendelea kuzaana, wake kwa waume" upo?
5. Issah sio Yesu !? lakini Yesu ndie Jesus ! Abraham sio Ibrahim, Yohana sie John na Yusuf sie Joseph?
" Huyu ndiye Issah mwana wa Maryam, na hii ndio kauli ya haki wanaifanyanyia mashaka''
" Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kujifanyia mtoto, ametakasika ! Anapotaka jambo liwe huliamrisha............. kuwa na likawa" Quran: Suratil Maryam 30-35
 
Hao nilo wawekea colors tofauti ni watu wawili tofauti. Usijaribu kuwalinganisha asilani.

Yohana ndie John, Yusuf ndie Joseph, Daud ndie David, Mathayo ndie Mathew .................... lakini Issah sie Yesu ! lazima ukatae, maana waliokubali wote wako upande huu!
" Huyu ndie Issah mwana wa Maryam, na hii ndio kauli ya haki ambayo wanaifanyia shaka" Quran: Surratil Maryam 30-32
 
........wametaka wenyewe wa-sweden, kwa nini wanawapa uraia hawa watoto wa mama mdogo (ishamail came from kijakazi)? siku hizi ukisafiri kwenye commuter au ndege na mwarabu especially wenye mindevu yao unatamani ushuke!!!! NASA fanyeni utafiti fastafasta kama kunaweza kuwa na sayari nyingine yenye kuweza ku-support life tuwapeleke hawa wazee wa ngumi mkononi.
 
Watabanana humu humu, una jeuri ya kuwa na dunia yako? Mnaogopa Mabomu kuliko UKIMWI !
 
........wametaka wenyewe wa-sweden, kwa nini wanawapa uraia hawa watoto wa mama mdogo (ishamail came from kijakazi)? siku hizi ukisafiri kwenye commuter au ndege na mwarabu especially wenye mindevu yao unatamani ushuke!!!! NASA fanyeni utafiti fastafasta kama kunaweza kuwa na sayari nyingine yenye kuweza ku-support life tuwapeleke hawa wazee wa ngumi mkononi.
Na wewe una amini kuwa Nabii Ibrahim alio dada yake wa baba mmoja!?
 
The funny thing with is Islam is that there is no distinction btn wanaojiita waislamu wenye siasa kali kama al Qaeda et al, na wasilamu wale moderate wanaovaa tai na unaendaga nao bar kula kitimoto na kunywa bia, ambao hata hapo kazini kwako nadhani some of your colleagues are ..they are all same shyt different toilets..trust me on this. They are all live grenades and they can explode any minute..nadhani umeona hata comments za baadhi yao kwene hii very thread..na hata huyo aliyejilipua alikuwa wa aina hiyohiyo ya pili, moderate muslims, anaenda bar na kujirusha na totoz, but inside he is the same..MUSLIM..

Unaeza ukashangaa kwanini, but the main reason is that they all refer to the same source of literature, the koran, and they all believe that it is an unaltered word of allah..bila kupunguza au kuongezwa.. ukiangalia kwa nje hutoona tatizo lakini hizo ayat za kuua wasioamini zipo live bila chenga..na kwamba kuua wasio na hatia, as it is justifiable or not, its only the matter of opinion, space and time..

Very wrong.
 
Hapo ndio utagundua tofauti ya mtizamo wa watu wa dini mbili, Utagundua wakrito kwao violence (tena mauaji ya wasio na hatia) haina nafasi kaisa na huwezi husisha dini na violence.
Kwa mtizamo wa waislamu , walio wengi wanaamini ni sawa kupigania dini, hata kw akuua wasi na hatia hata kuifanya dunia ni sehemu hatari ni sawa kwao mradi kwa jina la Mtume (sina maana wote ila wengi wao kama huyo Omar)

Dini wa kiislamu laizma ikue kwa kasi kwanza mnazaliana sana sabau ya kua na wake zaidi ya mmoja , wengi mmeshindwa kuishi kwnye nchi za kiislamu sababu zina violence, mmekimbilia nchi za magharibi zilizo wakaribisha na kuwacha muwe huru kuabudu mnavyo taka,Sipigi picha niwe Saudia Arabia halafu nianze kuleta mahubiri mitaani kuhusu Yesu sijui kama nita salimika.
Tatizo watu wengi mna perception zenu mlizozitoa mitaani kuhusu uislamu halafu mnakuja hapa mnajidai mnaufahamu uislamu. Uislamu unasema kama hujui jambo uliza wenye ujuzi nalo. Mkuu huwezi kuja hapa na porojo za mitaani kuhusu uislamu halafu ndiyo uzitumie kujenga hoja......utajikuta umeandika upupu kama huu.
 
"At least" vitabu hivyo( Tourat, Injil na Zaburi) ! umenena vyema! mapokeo ya hayo maandiko yalipatikana vipi? Ni nani alikua anamsomea "AMRI KUMI" za mungu, Nabii MUSSA?? Mussa (Moses) ni Nabii pekee aliyekua akiongea na Mwenyezi Mungu, ila Quran imekukera sana kudai ni kitabu cha Mungu. Mpaka hapo mie nimetosheka na wewe, haya mambo hayakuhusu maana unadai huna upande wowote, upo upo tu! Inshaallah, Ulipwe unachostahili!

Kwa maneno mengine unasema kuwa actually wakristo wanakubali kuwa wanafuata maneno ambayo wanajua huenda siyo ya mungu ila wameamua tu kuyafuata kwa sababu ya ujinga wao labda (kwa kufuata kauli yako hapo)
 
Very wrong.

Mzee huyu jamaa "ABDULHALIM" asikushughulishe, He is neither left nor wright, yupo yupo tu na kazi yake ni kufyatuka ! hana haja ya kuogopa mabomu. Mabomu itakuwa gharama kubwa ................. Mmbu tu, amdunge Malaria halafu akifika Hospital amkute Doctor wa Kigalatia kalewa ampe ARV badala ya QUININE !
 
Magaidi wasichojua ni kuwa wanapoteza muda na maisha yao bure......hakuna mahali kwenye historia ya dunia sera ziligeuzwa kwa kuzingatia global terrorism..................

Unaweza kuwa sahihi, kwanza ngoja niseme kuwa suala la ugaidi ni very subjective, kwa hiyo sina hakika sana kama wote wanaoitwa magaidi wanastahili kuitwa hivyo. Pili kila kitu kina mwanzo mkuu.
 
Kwa maneno mengine unasema kuwa actually wakristo wanakubali kuwa wanafuata maneno ambayo wanajua huenda siyo ya mungu ila wameamua tu kuyafuata kwa sababu ya ujinga wao labda (kwa kufuata kauli yako hapo)

Nilikua nahangaika na mjinga mmoja anaitwa "ABDULHALIM" ikifuatilia post vizuri utagundua ! jamaa mtupu kabisa, nilimshauri aandike aya za Eric Shigongo kama amekosa kabisa reference !
 
The more you continue to post, the more you prove to me that you are an empty can.

Kwanza hakuna mahali nimekosea kutaja post gani niliyokuwa naizingatia..post kabla ya MOD mlevi kuondoa baadhi ya post, ilikuwa post #43..

Nimekuuliza swali wewe pathetic muhamedan, badala ya kujibu wewe unauliza tena swali na kuleta habari sijui za vitunguu , torati sijui Injil..

Narejea tena kwa mara ya mwisho kukuuliza maswali yangu, kama hutojibu vile ulivyoulizwa basi ntajua tu kwamba its either unakwepa maswali kwa sababu unajua madhara ya majibu yako, or you are the dumbest person i ever met in JF.

Haya ukumbi ni wako.
The fact that you are actually responding to his posts can be considered as a sign that you are an empty can like him ( according to you)
 
"Hakika dini ya haki mbele ya Mwenyezi mungu ni Uislam" Quran: Al Imran 3:19
"Na bila shaka tulimpeleka mtume katika kila umma, ya kwamba muabuduni mwenyezi mungu na mwepukeni shetani" Quran 16:36
" Na kila kaumu ina kiongozi wake" Quran 13:7
(Na mitume ni hawa tunaowafuata na si Muhammad s.a.w, pekee; Adam a.s, Idris a.s, Nuh a.s, Hud a.s, Salih a.s, Ibrahim a.s, Lut a.s, Ismail a.s, Is-haq a.s, ya'qub a.s, Yusuf a.s, Shu'ayb a.s, Ayub a.s, Dhul-kifl a.s, Musa a.s, Harun a.s, Daud a.s, Sulayman a.s, Ilyas a.s, Alyasa a.s, Yunus a.s, Zakarriya a.s, Yahya ibn Zakarriya a.k.a Yohana Mbatizaji a.s, Issah a.k.a Yesu a.s, Muhammad s.a.w)
"Enyi watu muabuduni mola wenu aliyekuumbeni na akaumba waliokuwa kabla yenu ili mpate kuokoka" Quran 2:21
" Wala hakuweka mambo mazito katika dini, dini hii (islam) ni mila ya baba yenu Ibrahim, Mwenyezi mungu aliwaita waislam tangu katika vitabu vya mwanzo (Tourat, Zabur na Injil) na katika Quran hii pia" Haji 22:78
Muhammad s.a.w, ni Nabii wa Mwisho, Quran,Al Ahzaab 33:40
Tafadhali ondoa uzushi wa hicho kitu "Muhamedans" jina letu tunaitwa Waislam, period

You are wasting your time Ally. Just leave him alone
 
Back
Top Bottom