Milipuko Dar?

BiMkubwa

JF-Expert Member
Jan 9, 2007
529
97
Jamani niko mlimani UDSM nasikia milipuko kama yanatokea downtown dar es salaam. Je kuna yeyote anayasikia pia? Kuna nini?
 
hata miye nilisikia but i think ni fataki, anyone? please confirm, watu tunaishi kimachale machale
 
ni hao ndugu zenu waasia wenye asili ya Tanzania-courtyard...... !
 
Ahsante Invisible, Maana nipo kitunda na ililazimu nitoke nje yasinikute kama yale ya goms.
 
Duh afadhali manake watu siku hizi tukisikia mlipuko tu mioyo nayo inalipuka. Mungu atuepushilie mbali.
 
mmh! Si muhamie huku. Hamtosikia fataki wala miluzi jinsi kulivyotulia.
 
Watu walikuwa wanashangilia ushindi wa India dhidi ya Sri Lanka kwenye kombe la dunia la Cricket?
 
Watu walikuwa wanashangilia ushindi wa India dhidi ya Sri Lanka kwenye kombe la dunia la Cricket?

Yaani mimi huwa nimelogewa kwenye soka tu.
Hii post yako imenifanya nicheke sana, Am sorry cricket fans.
Umenikumbusha kipindi fulani nikiwa hoteli moja Dar niliomba niwekewe ss3 niangalie game ya Manu na Liverpool, nikaambiwa kuna mteja aliomba awekewe Formular one acheki mashindano ya Langa langa.
 
LOL...umeniacha hoi ndudgu..mwenzako napenda sports zote..sana sana Soccer na F1..ningekua hopo hotelini nisingekosa chochote mana kote niko!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom