Milioni Hamsini (50,000,000) zimeingia kimakosa kwenye Account yangu

Bahati hyo ingeniangukia mimi break ya kwanza kwa sangoma,break ya pili kwa obama au kwa cameroon naenda kupiga Masters and PhD.......
 
hizi bahati sijui kwanini haziangukii kwangu yaani ningezilamba asubuhi asubuhi..liwalo na liwe
 
zichukue haraka na uende kuziweka kwenye fixed account hata kwa wiki mbili ili wakija kuzihitaji zimekuzalishia walau kamilioni kamoja.
 
Kuna jamaa yangu ilishawahi kupata zali la 15m ktk account yake ilikomba zote hadi leo yupo anarun town,ila baada ya kutoa muda mfupi wakablock acc yake. Chukua hela fasta bandugu..
 
Toa taarifa haraka kwa bank, kimaandishi. Hii sheria ya money laundering ni chinja chinja aisee. Wajuba hawakawii kukuwekea na kuzihamisha ukaonekana unahusika kwenye biashara fulani.
 
Gazetı habarı ya asubuhı,leo nı Jumatatu,vıpı mzıgo bado unasomeka kwenye account yako?
 
kama bado zipo ziamishie kwenye account yangu tucheze dili mkuu...nimekupm mkuu...nasikia harufu ya ankara..
 
Duh! Mpaka mwili unanisisimka! Na ukata huu? Kama una fast producing bizness,chota zalisha,na urudishe.
 
hizi bahati sijui kwanini haziangukii kwangu yaani ningezilamba asubuhi asubuhi..liwalo na liwe

M2 wang cjui hizi bahati kwa nini zic2angukie na cc.Ingekuwa ni mim nazikomba zote halaf nahama BONGO land 2 Another land in this world. LIWALO na LIWE bana.
 
Sasa wale wanasheria wao wanafanya kazi gani?
mkubwa usiulize maswali mengi kama police!!! chukua mkwanja piga business....au we maisha ya bongo huyajui nini!!! aise kama huwezi ni PM bas....
 
Toa taarifa haraka kwa bank, kimaandishi. Hii sheria ya money laundering ni chinja chinja aisee. Wajuba hawakawii kukuwekea na kuzihamisha ukaonekana unahusika kwenye biashara fulani.

Watu humu watakuroga wewe leta maneno yako hayo
 
Habari zenu ndugu zangu, nimeacha pesa kidogo sana kwenye
Account yangu ya NMB. (2,356,700) Nimeenda kuangalia salio
nimekuta 52,356,700.

Je naweza kuchukua hizi pesa na nisishitakiwe?
kama nitashitakiwa kuna uwezekano wa kushinda kesi?

Tafadhali naombeni maelezo haraka iwezekanavyo.

NB kwenye heading ni (50,000,000)

Haa haaaa hiyo soft Loan interest free chukua kanunue kiwanja Geza ulole utalipa taratibu sio kosa lako.
 
Ni makosa ya bank yamefanyika.Ukumbuke pia kumbukumbu za wewe kuangalia salio marakwamara zitaonekana na kubakia kwenye system.Kwahiyo itaonekana umezichukua kwa makusudi (wizi)
- Kama hujiamini , nakushauri zirudishe
- Kama unaroho ngumu kashauriane kwanza na rafiki yako yeyote (lawyer/Senior bank officer/IT personnel)kabla hujazitumia
 
Back
Top Bottom