Milioni Hamsini (50,000,000) zimeingia kimakosa kwenye Account yangu

Yaani umekuja humu umetaja na benki, na miushauri yote wata print na kutumia mahakamani.

Hadi umetoa exact balance hivi kweli. Wewe sio mjanja kabisa kesho nenda katoe ripoti benki wachukue pesa yao labda watakupa zawadi ya kukushukuru.

Ila jifunzeni nyie mnaongea ukweli, nyie waoga mkiwa mnauliza maswali data za kweli ficheni tunga chochote e.g. Manamba, jina etc then maneno yawe ya kweli.

Duh mie tangu hiyo friday ningeshajipanga na bonge la kitu kama kukimbilia bagamoyo au magazetini kutafuta nani anauza shamba au kiwanja na kuandikisha jina la ndugu yangu au mtoto au mama yangu lolote.

Then ningekuwa nafuikiria nitatoaje amount kubwa kwa kumkupuo kulipia. Hata kama nisingetumia pesa yote ila ningejua nimepata mali.

Wakinidai mbele tutajuana mbele pesa nimekula sitaji nimenunua nini wasininyanganye na nitavumilia na kujitetea nikijua nina furaha rohoni.

Please endeleza kutujuza umefikia wapi, tabu all NMB staff kesho watajua jina lako etc, I hope hiyo balance sio ya ukweli ulivyoweka vinamba vyote.

Pia mmjoa kakuomba acoount kamwe usitoe.
 
Wewe nenda leo Chukua maximum amount kwa ATM, then kesho, then next day and then and then!! Hadi hapo zitakapoondolewa!! Usitumie bank taillers!! Ukijashutukiwa utawambia account yako ni kwa ajili ya matumizi ya kubank na ulikuwa unadraw kwa matumizi yako bila kuangalia salio!!
 
Huo ndio mchezo wa NMB kama huijui ndio hio kaka, akaounti yangu ilidumu miezi isiyozidi minne niakvunja nao ndoa, kuna muda unakuta una bonge la salio halafu kuna muda hata salio lako unalolifahami unakuta hamna, na mchezo huu hua unatokea sana mida ya jioni saa kumi na mbili hivi hado kesho yake. Ila nakushauri achana nazo bora uripoti tu maana kukutafuta na kukupata ni rahisi sana, ukiripoti itakua nafuu yako maana kama kuna mchezo wanaucheza basi uko safe otherwise siku ya siku itaonekana akounti yako ilipokea pesa kisha ukazitumia...itakua msala mwingine
 
Yaani umekuja humu umetaja na benki, na miushauri yote wata print na kutumia mahakamani.

Hadi umetoa exact balance hivi kweli. Wewe sio mjanja kabisa kesho nenda katoe ripoti benki wachukue pesa yao labda watakupa zawadi ya kukushukuru.

Ila jifunzeni nyie mnaongea ukweli, nyie waoga mkiwa mnauliza maswali data za kweli ficheni tunga chochote e.g. Manamba, jina etc then maneno yawe ya kweli.

Duh mie tangu hiyo friday ningeshajipanga na bonge la kitu kama kukimbilia bagamoyo au magazetini kutafuta nani anauza shamba au kiwanja na kuandikisha jina la ndugu yangu au mtoto au mama yangu lolote.

Then ningekuwa nafuikiria nitatoaje amount kubwa kwa kumkupuo kulipia. Hata kama nisingetumia pesa yote ila ningejua nimepata mali.

Wakinidai mbele tutajuana mbele pesa nimekula sitaji nimenunua nini wasininyanganye na nitavumilia na kujitetea nikijua nina furaha rohoni.

Please endeleza kutujuza umefikia wapi, tabu all NMB staff kesho watajua jina lako etc, I hope hiyo balance sio ya ukweli ulivyoweka vinamba vyote.

Pia mmjoa kakuomba acoount kamwe usitoe.
Mimi nina wasiwasi huyu jamaa keshachuku ndio
maana anahitaji msaada pale litakapomtokea puani
vinginevyo angeuliza siku ileile.
 
Sio lazima usubirie pasi ndio ufunge,
Mpira mwingine unaweza ukaja kwa style la "loose ball" ambao hauna mwenyewe.

Kweli pesa hazina macho, mbona haziji kwangu?

..............naona mzee umeziita "loose ball" ili mradi ujenge maarifa ya kuila !!
aiseeeeh !
 
Mkuu kweli? kama kweli unaweza kuzitumia lakini bila ya kuwa na malizi ya kutozirudisha unaweza kuzitumia lakini yatakiwa kuziruisha pindi bank itakapo dai pesa hizo. kulingana na BANK OF TANZANIA ACT YA MWAKA 2006 na BANKING AND FINANCE INSTITUTION ACT ya mwaka 2006. Mteja hana ruhusa ya kudraw hela ambazo zimeingia kimakosa kwenye akaunt yake. Definition of theft in penal code CAP 16 R.E 2002 under section 258(1) any person who flaudulently and without clain of right takes any thing capable of being stolen or flaudulently converts to the of any person other than the general or special owner thereof anything capable of being stolen is said to steal that thing. Case law ISMAIL ADEN RAGE V. R (2005) CAS NO 286. KWA HIYO MKUU UKICHUNGUZA HII MAANA YA WIZI UKIZICHUKUA HIZO PESA KWA LENGO LA KUZITUMIA MOJA KWA MOJA NA KUTOZIRUDISHA KAMWE UTAKUWA UMEZIIBA. LAKINI WAWEZA KUZITUMIA KWA MLENGO WA KUZIRUDISHA BAADAE. SOME Time watu wanaweza kuwa wamefanya transactio na kuzitoa baadaye na kuonekana umeziiba wewe so BE VERY CAREFUL
 
yawezekana hulali ukimuomba mungu akupe maisha mazuri, sasa kakubip tu ww unaooogopa! hapo alipo anakushangaa kwamba nn ukitakacho, mbona akikupa unatoa macho., take ze money, hv hujachukua tu.
 
Kama accout yako iko bize na imkuwa ikipokea transactions kubwa kubwa na at some point in time umekuwa uki maintain balance ya hiyo amount au hata zaidi, nakushauri tumia hiyo hela. lakini account huwa inaingiza vihela vidogo vidogo tu then ghafla unakuta million 50, hiyo mkuu achana nayo na toa taaarifa benk maramoja, kwa maana ukitumia maana yake ulikuwa unajua for sure kwamba hela siyo ya kwako na kwa hiyo umeamua kuiba.
 
Habari zenu ndugu zangu, nimeacha pesa kidogo sana kwenye
Account yangu ya NMB. (2,356,700) Nimeenda kuangalia salio
nimekuta 52,356,700.

Je naweza kuchukua hizi pesa na nisishitakiwe?
kama nitashitakiwa kuna uwezekano wa kushinda kesi?

Tafadhali naombeni maelezo haraka iwezekanavyo.

NB kwenye heading ni (50,000,000)

Mkuu pole kwa kusakiziwa hizo pesa.

Mara nyingi benki huwa kunatokea hitilafu za kiteknolojia katika mitandao ya kibenki hasa nyakati za usiku wa kuamkia siku inayofuata.

Lakini pia nyakati zingine ni mipango ya watu fulanifulani ndani ya benki ambao kama ndio waliofanya kazi hiyo ya kuhamishia pesa kwenda katika akaunti yako basi tayari wangekuwa wamekutaarifu.

Kisheria ni kosa la jinai kuhifadhi pesa isiyo yako hata kama umeikuta kwenye akaunti yako na usitoe taarifa kwenye benki husika.

Sasa nikueleweshe kidogo kuhusu tafsiri ya wizi;

Ni kitendo cha kupata mali ya mtu mwingine kwa lengo la kutokomea na mali hiyo na kumfanya mwenye mali apoteze mali hiyo na asiipate tena.

Kwahio wewe utakuwa mwizi na utahesabika umeiba hio pesa endapo mpaka leo hii unaleta habari JF ukifahamu kwamba unayo pesa benki pesa ambayo imewekwa kwenye akaunti yako kimakosa.

Pia utakuwa unaamini kabisa pesa hiyo si yako lakini ukakaa kimya bila kuwataarifu benki husika.

Kuna siri moja kubwa ambayo ungeweza kuifanya kibenki lakini siwezi kuisema hapa kwani hiyo ingeweza kukusaidia angalau kupata kahauweni kidogo.

Hata hivyo benki hufanya ukaguzi wa mara kwa mara kwahio hadi kufikia kesho usubuhi utakapojidamka mapema unaweza kukuta wamekusafishia akaunti yako.

Rudisha pesa ya watu mkuu.
 
mkuu unaonekana ni kati ya watanzania wachache wenye nidhamu ya woga...kesi ya pesa inaisha kwa pesa..ukiripoti kwa meneja tayari unakua umempa dili..woga wako ndio umaskini wako.!
 
mkuu unaonekana ni kati ya watanzania wachache wenye nidhamu ya woga...kesi ya sesa inaisha kwa pesa..ukiripoti kwa meneja tayari unakua umempa dili..woga wako ndio umaskini wako.!
 
dah....i wish ingetokea kwa account yangu....ningesema liwalo na liwe...
 
TGS -D 400000X12 =4,800,000/= ndio earn ya mwaka lazima udenda ukutoke
.. naona watu wengi wanaikodolea macho hii hela inaonyesha vijana watanzania wengi tunavyopenda short cut halafu ndio wengi wetu tunao hamasishana kwenda kwenye ile mikutano yetu ya kupambana na mafisadi ya
V4C, M4C, operation sangara na mambo kama hayo ..
umecheza bahati nasibu upate hizo hela..?
yawezekana DENI halifungi ila...?
 
Huwa inatokea.....mara nyingi ni vijana wa IT bank wamepanga dili.............subiria watakupigia simu kukueleza kwamba kuna mchongo umeingia kwako kwa hiyo mpange dili ya kuutoa (infact usitegemee kupata chochote ni wajanja sana) Nina experience 2 za watu ninaowafahamu juu ya hilo

Uko sawa kabisa vijana wa IT wa bank ndo mchezo wao later wanaihamisha manaitumia
 
Hii Comment yako mpaka natetemeka.

Tetemeka sana tu!!!! Usizichukue hizo fedha kwani ni dhambi (Usitamani mali ya mwenzio-hata mbuzi wake, hata punda wake, hata hela zake zilizokosoewa kuletwa kwako). Usipozingatia utaenda rupango kwa wiki nne hivi mpaka ukombolewe na wasamaria wema au ujikomboe mwenyewe kwa gharama kubwa!!!.
 
kwa mtanzania kama tunavyojielewa ukiwa na madaraka kidogo huwa tunapenda sifa ajabu,watakuabisha vibaya hao wafanyakazi wa hiyo benki endapo utazitoa hizo pesa,na si ajabu wakakuburuza kortini kama jambazi sugu,toa taarifa benki ili hela zirudishwe katika a/c husika,uishi kwa amani hata kama kipato chako kwa siku ni 15000/= tu
 
Back
Top Bottom