Milioni 700 zatengwa kwa uhamisho wa wafanyakazi nhif

Jun 18, 2012
5
0
Kiasi cha milioni 700 kimetengwa kwa ajili ya uhamisho wa wafanyakazi mwezi july ikiwa wanachama hatupati dawa tukienda hospitali. Mkurugenzi wao anahamisha wafanyakazi kila mwaka ili kuficha ufisadi unaotendeka. Kuna tetesi wafanyakazi wanakusanya data ili wamlipue kama mama nyoni.
 
Asante kwa taarifa, bahati mbaya taarifa ya CAG na kamati ya bunge itatolewa 2015.
 
Tunakatwa mishahara yetu kwa manufaa ya wachache, walimpue tu tunahitaji nguvu mpya 2015
 
Hii NHIF mimi inaniboa sana! Yaani vitu kama hivi ndo inabidi tuandamane, wanachukua hela zetu lakini hawataki kuwalipa hospitals, dispensaries na pharmacies on time.baadhi ya hospital wameanza kukataa kadi zao wakidai hawapewi fedha zao kwa wakati na wakati mwingine wanakorofishana sana. Mfano katika hili ni Aga Khan, walikiwa wanapokea green cards sasa hivi wamezitema. We ngoja tu, siku yao inakuja.
 
Wizara ya afya tunaomba ifanye mabadiliko kwa viongozi wa mfuko huu hasa mkurugenzi mkuu wao maana jamaa ni mbabe kama nini anaongoza kwa ukatili na manyanyaso kwa wafanyakazi.Kaweka viongozi wachini yake kama vivuli tu kila jambo anaamua mwenyewe.
 
Back
Top Bottom