Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
aaaaah! kama ni hizi sawa, vingivyo vile vyoo milion 5 zinatosha kabisa
aaaaah! kama ni hizi sawa, vingivyo vile vyoo milion 5 zinatosha kabisa
Sijajua ukuko upande kani lakini inaonyesha una uelewa kwenye haya mambo naomba uzinyanyambue hizi mil 70....Cha ajabu nini hapo??
Ukifuata kanunuzi za zabuni na manunuzi za PPRA unaweza kujenga choo kimoja hata kwa Mil 100 maana mchakato wake mrefu mno!
Kwanza utafute injinia mshauri sijui, then mtangaze tenda gazetini sijui mkishatangaza watu wakae vikao kujadili!
Hivyo vikao na mchakato na mshauri unaweza kukuta mil 20 lakini sio kwamba ni ufisadi thats how it should be sheria zinavyosema.
Sasa jiulize bora nini tuache watu wale kifisadi mil 5 au tufuate kanuni nzuri milioni 20 iliwe kiuhalali.
BOSI WANGU NDIYO MAANA NIMEULIZA HATA MIMI, SIAMINI NINACHOKIONA, KAMA CHOO CHENYEWE CHA 70MIL NDIYO HIKI. Then this country is running on it's own bullshit!
kama ndiyo hiki hata Mil 3 haizidi
CHOo CHENYEWE NDIYO HIKI?
Naona hicho choo kimoja cha gharama hiyo unachosema ni cha Kempisky na sio halmashauri zetu tunazozifahamu tuwe na uchungu kidogo na madiwani wafanye kazi zao kuzuia uozo sio kukinga posho tu..kama yupo diwani yoyote wa kibaha atujuze au wameshapozwa..Natofautiana kabisa na wewe, tusipende kila kitu kukihusisha na ufisadi itafika mahala watawala watazoea malalamiko yetu na wasiyafanyie kazi. Mimi nilidhania ingekuwa vema ungekuja na data kamili za ujenzi wa hivyo vioo then tujadiri, kwasababu milioni70 zaweza kuwa zilitumika sahihi tuu lakini kwasababu huna data nzuri hoja yako haijadiriki. Na suala la kwamba umejenga nyumba ya vyumba vinne hujatumia milioni30 ndipo nimeanzia kuwa na mashaka na hoja yako. Mimi binafsi nina kibanda changu cha vyumba vinne kama wewe Total cost so far ni Milioni57(Under serious control) haijaisha kama nitakavyo japo naishi humo.
To me Tshs Milioni70 zaweza kujenga hata choo kimoja tuu itategemeana na choo chenyewe.
Natofautiana kabisa na wewe, tusipende kila kitu kukihusisha na ufisadi itafika mahala watawala watazoea malalamiko yetu na wasiyafanyie kazi. Mimi nilidhania ingekuwa vema ungekuja na data kamili za ujenzi wa hivyo vioo then tujadiri, kwasababu milioni70 zaweza kuwa zilitumika sahihi tuu lakini kwasababu huna data nzuri hoja yako haijadiriki. Na suala la kwamba umejenga nyumba ya vyumba vinne hujatumia milioni30 ndipo nimeanzia kuwa na mashaka na hoja yako. Mimi binafsi nina kibanda changu cha vyumba vinne kama wewe Total cost so far ni Milioni57(Under serious control) haijaisha kama nitakavyo japo naishi humo.
To me Tshs Milioni70 zaweza kujenga hata choo kimoja tuu itategemeana na choo chenyewe.
acha dharau kwa serikali yako, sisi wapenda amani tunaona kama unataka kuhatarisha amani tulio ijenga kwa miaka takribani 50 wewe choo hujakiona kwa ndani unanza kulalamika wakati mlitakiwa mtupongeze kwa kubana matumizi kwani hukumbuki kunachoo kilisha jengwa kwa mil 700 hii ni kwa mjibu wa Dr Slaa sasa huwezi kuona juhudi za kujivua gamba kutoka kujenga choo cha mil 700 mpka 70...labda kwa kukusaidia tu kule ndani ya shimo vimewekewa tailizi,kuna mashine za kuya badilisha mavi kuwa juisi, juu ndiyo usiseme bahati mbaya mpiga picha alikuta kimefungwa ila msome Camaraderie hapa chiniDuh mkuu wacha hizo bana
mbona hicho choo hakina hata thamani ya milioni mbili mbona cha kawaida sana ambacho hata mkulima wa pale songea anaweza kukijenga
Kweli pesa za nchi hii zinaliwa na wajanja
acha dharau kwa serikali yako, sisi wapenda amani tunaona kama unataka kuhatarisha amani tulio ijenga kwa miaka takribani 50 wewe choo hujakiona kwa ndani unanza kulalamika wakati mlitakiwa mtupongeze kwa kubana matumizi kwani hukumbuki kunachoo kilisha jengwa kwa mil 700 hii ni kwa mjibu wa Dr Slaa...labda kwa kukusaidia tu kule ndani ya shimo vimewekewa tailizi, juu ndiyo usiseme bahati mbaya mpiga picha alikuta kimefungwa ila msome Camaraderie hapa chini
CCM ni zaidi ya ujuavyo
CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Chama cha Mapinduzi chajenga nchi.
Sijui ni nchi ipi inayojengwa kwa mfumo huu wa ulaji.
Mkuu
umekosea huwezi jenga choo cha 70m kwa nchi hii ambayo shule zake za kata hazina madawati, na nk
ni wizi usiokifani. 70m unajenga nyumba nzuri ya hatari kama hutajifisadi wewe mwenyewe
Natofautiana kabisa na wewe, tusipende kila kitu kukihusisha na ufisadi itafika mahala watawala watazoea malalamiko yetu na wasiyafanyie kazi. Mimi nilidhania ingekuwa vema ungekuja na data kamili za ujenzi wa hivyo vioo then tujadiri, kwasababu milioni70 zaweza kuwa zilitumika sahihi tuu lakini kwasababu huna data nzuri hoja yako haijadiriki. Na suala la kwamba umejenga nyumba ya vyumba vinne hujatumia milioni30 ndipo nimeanzia kuwa na mashaka na hoja yako. Mimi binafsi nina kibanda changu cha vyumba vinne kama wewe Total cost so far ni Milioni57(Under serious control) haijaisha kama nitakavyo japo naishi humo.
To me Tshs Milioni70 zaweza kujenga hata choo kimoja tuu itategemeana na choo chenyewe.
nakumbuka wakati nasoma shule ya msingi, kujenga choo cha shimo haikuwa issue kabisa. Enzi hizo watu hawakuwa walafi kama sana na walikuwa na ujasiri wa kutunga nyimbo kama vile Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
Kujenga choo hatukuhitaji kuita zabuni bali wanafuzi wote kama stadi za kazi tulifyatua matofali, tukapanga matanuri, tukakata miti na hatimaye kuchoma hayo matofali.
Baada ya hapo tulichimba mashimo kwa majembe, sepetu na sululu, tulitumia ndoo na kamba kutoa udongo kwenye mashimo na baadaye mwalimu wa ujenzi alifanya setting na ujenzi ukaanza.
Kilichokuwa kinanunuliwa ni bati mbao na saruji kwa ajili ya kusakafia. Hivyo basi vyoo vya shule za msingi vilikuwa na gharama ya chini sana.
Sasa hivi ni balaa choo kimoja cha shule kinamaliza matatizo ya afisa elimu mkoa, mkaguzi mkoa,na mlolongo wa maafisa wenye njaa, uroho, kiu, tamaa you name it.
Hivi hakuna mtanzania sober huko juu mwenye kuipenda nchii hii na kuamua kuwa vyoo vyote vya shule za msingi vijengwe na wafungwa kwa mtindo niliousema hapo juu?? Ikiamuliwa hivyo ni kiasi gani cha fedha tutakuwa tumeokoa?? Ulizingatia luwa kila walaya ina gereza moja??
Tumechoka kusoma habari za wizi every now and then, its time we act affirmatively.