Milio ya risasi usiku kucha…

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Swali: Hivi ingekuwaje kama BAO (si la mpira wewe) la ku-DU (umeelewa sasa…) lingekuwa linatoa mlio kama Bunduki???
Mfano: Paaah au Puuuh au Pooooh au Tuuufuu au Tratrataaaah nk. Nahisi tungekuwa viziwi Dunia nzima, kwa sababu usiku kelele za mabao tusingelala.

Tena fikiria wale waliopo jirani na Guest House wangelala?? Kwao yangekuwa ni mabao tu kwa kwenda mbele… Paaah au Puuuh au Pooooh au Tuuufuuh au Tratrataaaah

:photo:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom