MILANGO, MILANGO, MILANGO...Pata miango bora kwa Uimara wa nyumba yako.

ntagunga

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
654
256
Kwa wale wanaojenga, watakao jenga, usihangaike kupata milango imara kwa ajili ya nyumba yako. Ukifika kwetu utapata milango imara kwa uthabiti wa nyumba yako. TUPO NYAKATO NATIONAL, na tunapatikana kwa simu namba 0766087636, 0686630812 na 0713550387

sample za milango ndo hizi hapa

llllll.jpg

lllllll.jpg

l.jpg

ll.jpg

lll.jpg

lllll.jpg

milango hiyo imetengenezwa KIGOMA, Kwa kutumia MUKURUNGU na MUBANGA miti ambayo ni imara na haishambuliwi na wadudu wa aina yeyote
 
Kwa wale wanaojenga, watakao jenga, usihangaike kupata milango imara kwa ajili ya nyumba yako. Ukifika kwetu utapata milango imara kwa uthabiti wa nyumba yako.

sample za milango ndo hizi hapa

View attachment 51431

View attachment 51432

View attachment 51427

View attachment 51428

View attachment 51429

View attachment 51430

milango hiyo imetengenezwa KIGOMA, Kwa kutumia MUKURUNGU na MUBANGA miti ambayo ni imara na haishambuliwi na wadudu wa aina yeyote

ebana vitu quality, hongera mkuu. vipi tutakuapataje sasa na uko wapi?
 
hii milango inauzwa bei gani .....pia quality ya finishing bado ..... inahitaji re-finishing works kama msasa na "secret joints work"
 
hii milango inauzwa bei gani .....pia quality ya finishing bado ..... inahitaji re-finishing works kama msasa na "secret joints work"

hi milango inauzwa kila mmoja 80,000/- lakini 75,000/- nakuuzia. uliofanyiwa finishing ni huo wa juu, ambao nakuuzia 100,000 mzee. kabibu sana LAT, napatikana NYAKATO SOKONI, a.k.a NATIONAL. SIMU ZANGU ni 0766087636, 0686630812 NA 0713550387.

KARIBU SANA MWANA KWETU
 
unaposema nyakato sema ni wapi...ni hapa dar au ni nyakato ya mwanza? usidhani kila mtu humu ukisema nyakato atakuelewa...nikiwa dar ntakupataje?
hi milango inauzwa kila mmoja 80,000/- lakini 75,000/- nakuuzia. uliofanyiwa finishing ni huo wa juu, ambao nakuuzia 100,000 mzee. kabibu sana LAT, napatikana NYAKATO SOKONI, a.k.a NATIONAL. SIMU ZANGU ni 0766087636, 0686630812 NA 0713550387.

KARIBU SANA MWANA KWETU
 
sawa mkuu..nikadhani labda na huku dar kuna kijimtaa kinaitwa nyakato...kumbe ni ile ya mwanza?...naijua sana...
 
sawa mkuu..nikadhani labda na huku dar kuna kijimtaa kinaitwa nyakato...kumbe ni ile ya mwanza?...naijua sana...

karibu sana mkuu, ka,a uko dar es salaam, kuna mdau wetu anauza, lakini kutokana na usafirishaji, bei yake ni 90,000 mpaka 120,000/- kama kuna mtu atahitaji kwa dsm, asisite kunifahamisha ili nimwunganishe na huyu jamaa yangu wa dsm ambaye anauzia yombo reli
 
Mi naiona ya kawaida tu, may be ki-Nyakato Nyakato inaeweza kua bomba
 
nAOMBA UNISAIDIE NAMBA YAKE YA SIMU NINA SHIDA SANA NA HIYO MILANGO MI NIPO DAR...

kwa walioko dar mtafuteni huyu mjamaa, mtapata vitu quality 0715274428, 0754274428 na 0784271520. anapatikana maeneo ya yombo dovya
 
simu la mchina hilo, ukiiona live, halafu ukaenda kuifanyia finishing utakufa nayo mkuu. mie naijua sana tu

kwa anayejua miti ya mbanga na mkulungu, hahitaji kushawishiwa kuikubali milango hiyo. nashukuru wewe unaijua mkuu. karibu uchague ukaifunge kwenye nyumba yako bro
 
kwa anayejua miti ya mbanga na mkulungu, hahitaji kushawishiwa kuikubali milango hiyo. nashukuru wewe unaijua mkuu. karibu uchague ukaifunge kwenye nyumba yako bro

nitafika mkuu, niko kwenye mpango wa kuanza kaujenzi ka kibanda, nadhani vizingiti na milango yake ntakuona mkuu. nisha chukua namba zako,any time ntakucall.

kila la heri kaka
 
Tanzania tuna resources nzuri MNO, hii miti ni imara ajabu; Tatizo mafundi wetu hawajui FINNISHING, na DESIGN huwa ni zilezileeee za toka mwaka 47, enzi za mijengo ya MSUMBIJI!
 
Niko hapa Chanya hotel nakula supu! nielekeze ulipo hapo Nyakato National ili nije, sina simu, na sitaki kuomba sm za watu!
 
Back
Top Bottom