mila

This was here on JF since sunday.
Mila ni Mila, lakini Inatisha kidogo.
 
mh kweli usipojua thamani ya kitu utakitumia vibaya hizi mila zingine zimevuka mipaka jamani ni kama kumkosoa mungu jamani
 
Niliziona kule jamii photos, ndo mila ya kila sehemu inatofauti wenzio wanaenjoy tu na wanaona wamependeza mno
 
Back
Top Bottom