MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Serikali si ilisema ita gharamia matibabu yake? Au wame badilisha mawazo?
Serikali si ilisema ita gharamia matibabu yake? Au wame badilisha mawazo?
Serikali si ilisema ita gharamia matibabu yake? Au wame badilisha mawazo?
nadhani hata watz sasa watailaumu serkali kwa kukosekana vifaa kwenye hospital kubwa kitu kinachosababisha hela nyingi kutumika kupeleka wagonjwa India
Things are abit confusing...hatujui which is which
Binafsi ningetaka kuona serikali kando kwenye hili swala.
Mleta mada unaweza kuweka hii habari kwenye blogs tofauti maana sio kila mtu anasoma JF.
nadhani hata watz sasa watailaumu serkali kwa kukosekana vifaa kwenye hospital kubwa kitu kinachosababisha hela nyingi kutumika kupeleka wagonjwa India
NDIO mkuu. Inaonekana majeruhi yake ya ndani ni makubwa sana, LABDA itahitajika kubadirisha Ini kabisa?? LAKINI kwa Dr. Ulimboka ni muhimu aokolewe kwa gharama yoyote ile, kwani ataweza kusaidia kuleta ukweli wa mambo. Pia hii itakuwa ndio mwanzo wa kukuzwa Demkrasia ya kuheshimiana mawazo. La Sivyo wakishajua hii njia inasaidia watu wengi watanyamazishwa.
Mi nadhani wakati watanzania wanajiandaa kuanza kuchanga, Madaktari waendelee kuwahudumia wagonjwa wanaoweza kutibiwa hapa hapa nchini haitakuwa kitu cha msingi watanzania wakahangaika na mtu mmmoja wakati Mamia ya Wagonjwa wanakufa mahospitalini
Halafu ni kweli Madaktari wanalamika dawa hakuna hospitali au ni pendekezo lao la kulipwa Mshahara wa Milioni 3.5 kwa mwezi, katika hili nawaelaza Madaktari wafanye analysis waje na data kama inawezekana il
Prof analipwa 2.5 ambaye anamfundisha Daktari
Mbunge 2.5..Nakushauri kaombe Salar slip ya Mbunge wako wa Jimbo atakupa
Watanzania imefika mahali tupime Unga na Mchanga Tuache Ushabiki wa Kisiasa kwenye Maisha ya Watanzania
Jopo la Madaktari wanaomtibu Dr. Ulimboka katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili wamesema zinahitajika shilingi Milioni Tisini (Tsh.90,000,000) kwa ajili ya kusaidia matibabu ya Dr. Ulimboka. Madaktari wanasema Dr. Ulimboka ana matatizo ya Ini na kuwa Matatizo hayo ya Ini hayawezi kutibika katika hospitali yetu ya Muhimbili. Jopo la Madaktari limesema mpaka sasa zimepatikana Tsh. milioni 40 zilizochangwa na Madaktari. Dr. Ulimboka anahitaji kusafirishwa kwenda nchini India ambako anaweza kupatiwa matibabu stahiki.
Nilikuwa napendekeza Chama Cha Madaktari (MAT) au kikundi kingine kuratibu zoezi la kukusanya michango kutoka kwa wananchi wenye nia njema na wanaomtakia kupona Dr. Ulimboka.
Pamoja na mdai Mengine Madaktari wanasema kuwa Sisi madaktari kwa umoja wetu, tumechoka kushuhudia Watanzania wakipoteza maisha kwa magonjwa tunayoweza kuyatibu, kufanya kazi katika mazingira magumu huku kukiwa hakuna mipango ya kuboresha mazingira ya kazi, kukosekana kwa dawa na vifaa tiba.