Mikutano ya CHADEMA Mbeya inatia moyo kwa harakati za ukombozi....

Hii safi sana Mbeya kwa kutuunga mkono. Baraka zote za Bwana ziwakalie milele. Amina!!!
 
Raizi wa walanguruwe tu,kwani Ikulu ni mahala patakatifu.

Wewe ni......

image.jpg
 
Raizi wa walanguruwe tu,kwani Ikulu ni mahala patakatifu.
Tuache uongo wajameni, nguruwe ni mtamu sana! kama unakatazwa usile na wewe kwa ujinga wako na ushirikina wako unakubali hilo ni swala lako binafsi.
 
KARIBU RAISI WA WATU UJISIKIE UKO IKULU YA NYUMBANI
Hii imekaa vizuri,tuendelee kukiunga mkono chama cha demokrasia na maendeleo-CHADEMA
 
Harakati hizi nimezipenda. Sasa ni wajibu wetu kuzipeleka kila kona ya nchi tunakopita.
 
Damu ya hamasa ya ukombozi inapotawala mwilini huwa haiangalii ni sehemu gani inafanyia kazi kujikomboa, hii inatia hamasa hata kwa wale bongolala waliokunywa maji ya bendera ya kijani. Na huu ni mwanzo tu, ukombozi wa kweli tutaushuhudia kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2015
 
Rais wa watanzania Dr Slaa,sharobaro Kikwete mabango,Dr slaa mioyoni mwetu.
 
Wanawake kwa waume ,vijana kwa wazee toka sehemu mbalimbali za Mbeya vijijini to umalila,Songwe,Izumbwe,Utengule,Igale wote walitembea,wakapanda magari ,wengine bodaboda,ilikuwa ni kufuru Mvua ilimwagika hakuna aliyesogeza mguu ilikuwa ni utulivu wa ajabu wanamskiliza Raisi wa Mioyoni mwetu
 
Na hakuna shule iliyofungwa ili kujaza mkutano kama wafanyavyo magamba
 
Dkt yuko juu,acha wale wanaocheka cheka tu pale Magogoni huku nchi ikitafunwa kwa kasi na mafisadi na hawa wanaowaita wawekezaji. CCM nguvu yenu imebaki katika matumizi ya pesa na vyombo vya dola,mwisho wenu uleee unakuja.
 
Wakati mawaziri na wabunge wa ccm wakizomewa kwenye majimbo yao, Dr. Slaa anazidi kupata mapokezi makubwa sana kila anakokwenda.:poa:poa

Mshaurini Slaa et al...........ya kwamba pia aongeze juhudi kutumia.....huu muda strategcally kuyashughulikia (i.e. kuimarisha CDM ) yale maeneo waliyoshindwa wazi wazi.......eg LINDI, MTWARA etc etc.........na hasa kwenye vijiji, kata na tarafa.........
 
Muda mwingi nafikiri ni sababu gani inafanya Chadema kuongezeka nguvu kwa kasi kiasai hiki? anyway siku moja nitapata jibu kamili lakini kwa mwendo huu ni hatari sana kwa CCM

Godwine,

.....unajua nini........CCM waliingia choo cha kike kule Mbeya kwa mambo mengi tu..........mfano..... walipoombwa na wananchi wa Mbeya kuwa hawamtaki Mkuu wa Mkoa,..........stories za kuhusu uwanja wa ndege,............soko la Mwanjelwa...........mashamba ya mpunga nk nk nk..............Huyu Sugu nyie mwangalieni hivi hivi...........lakini nawaambieni moto wake ni balaa........na pole pole unaanza kusambaa na hasa kwa vijana wee subiri uone 2015..........maana vijana wote unaowaona sasa hivi wengi wao watakuwa eligible kupiga kura............
CDM walipomsimamisha Sugu.......binafsi nilisema CDM wamekwisha kwani nilijua kuwa CDM wana nafasi kubwa sana ya kuchukua/kushinda Mbeya lakini sikuwa na imani sana na mgombea Sugu.........hee nilishangazwa na kuachwa kwenye mataa..........

CCM ni vigumu sana kurudisha Mbeya kwao.......
 
Back
Top Bottom